B40
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 820
- 538
Kutokana Na masaibu ya maisha nilichelewa kuoa mke mwema
Ila nimebahatika kupata zawadi ya mtoto wa kike mwenye miaka 2 Na nusu
Mama yake tumeshindana tabia kutokana Na mienendo yake isiyo mizuri
Mtoto atakaa Na mamaye ila Mimi nitakuwa natoa matunzo
Nakaribisha kila mwanamke mwenye mapenzi mema upendo wa kweli ucha mungu Na unyenyekevu
Umri 18-40 Mimi ni 31
Naomba mwenye nia njema anitumie sms pm
Pia nitatoa Maelezo ikibidi kwa mwenye nia
Asanteni sana
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app