Mpenzi kanipokonyoka!!

Mpenzi kanipokonyoka!!

singida huko hawajui kukataa so ww usijihis una bahat sana
 
sio hujui singda ni moja yenye mikoa yenye warembo hapa tz wana rangi flan amaizin mno bt ukitupia akakukataa doh ww una matatzo nimeish sana hko
 
Aje tu labda anadanganya ankupima upepo na km kweli akija cheza nae km kiaina labda atakupa jicho....kwaheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom