Labda alikuwa anataka kukukonyeza kwa ilo jicho la kimahaba!Nilibahatika kuwa na mpenzi lakini alikuwa akiniambia neno hili untaka "JICHO"Mhmm nikamwuliza jicho mimi la nini?akacheka tukaendelea na raha zingine hadi tunaachana sijajua ninimaana yake nisaidieni wajuvi.
Huenda alimaanisha tiGO thumni (a.k.a tiGO Express Yourself)....!Nilibahatika kuwa na mpenzi lakini alikuwa akiniambia neno hili untaka "JICHO"Mhmm nikamwuliza jicho mimi la nini?akacheka tukaendelea na raha zingine hadi tunaachana sijajua ninimaana yake nisaidieni wajuvi.
Huenda alimaanisha tiGO thumni (a.k.a tiGO Express Yourself)....!
We unadhani tundu gani lipo duara mithili ya "jicho" tena?mmh leo mbona ivo?
jicho la usoni au?
Haikuhitajika macho, bali jicho....!Hivi mtandao wa TIGO wanatoa macho?
nisaidie mi sjui mwayaWe unadhani tundu gani lipo duara mithili ya "jicho" tena?
Ni dirisha lililopo karibu na mlangoni....!nisaidie mi sjui mwaya
Ni dirisha lililopo karibu na mlangoni....!
Si ndio hapo....!Na mara nyingi watu hupitia kwa hilo dirisha, kwa kuruka ukuta!!!
mmh we nawe mbona unayakoroga koroga tena km mlenda?????Na mara nyingi watu hupitia kwa hilo dirisha, kwa kuruka ukuta!!!
mmh we nawe mbona unayakoroga koroga tena km mlenda?????
haaaa hapana mlenda umekakamaa ivi km nyama ya fowili ya pale hunters....!!!!!nan kakuambia mlenda unatelezaa?kakudanganya uyoaaaaaah!hivi mlenda ndo ule unaotelezagaaaa eeeeeeeeh?????
haaaa hapana mlenda umekakamaa ivi km nyama ya fowili ya pale hunters....!!!!!nan kakuambia mlenda unatelezaa?kakudanganya uyo