Mpenzi hayana Uzee, Uzee mwisho chalinze................

naiman64

JF-Expert Member
Nov 22, 2013
5,750
2,000
Safi sana mkuu, hadi hapo wametiza kiapo, sio ndoa za siku hizi binti akiolewa mahari unaweka benki mkuu, unasikilizia hadi miezi sita ipite.
 

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,004
2,000
Safi sana mkuu, hadi hapo wametiza kiapo, sio ndoa za siku hizi binti akiolewa mahari unaweka benki mkuu, unasikilizia hadi miezi sita ipite.
Sana tu mkuu, ndio maana ndoa za siku hizi mwaka mmoja watu wanafanya anniversary....
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,487
2,000
Ndoa zinazoishia hizo.. Natamani kungekuwa na utaratibu maalumu wa kuwasaidia wazee kama hawa kuishi maisha yao yaliobakia kwa raha na mustarehe..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom