Chaaa Ndugu yangu Umesharuka sarakasi kwenye Transformer arooooPolen na majukum
Ninampenz tuna mda sio mrefu tangu tumefahamiana.... Ajabu kila nikimwambia tukapime ukimwi ananipa excuse kibao...Mara tutapima tu
Mara una haraka gani?
Mara Niko busy sana
Na tunasex tena bila kinga haoni kama ni tatizo
Nifanyeje? Naomben ushauri
Siku nyingine usiombe ushaurinkm huo wakati unajua tayar mshakanyagana kavu ....endelea tuu maana km ameungua hamna hamna ..sonibora usipe presha .Polen na majukum
Ninampenz tuna mda sio mrefu tangu tumefahamiana.... Ajabu kila nikimwambia tukapime ukimwi ananipa excuse kibao...Mara tutapima tu
Mara una haraka gani?
Mara Niko busy sana
Na tunasex tena bila kinga haoni kama ni tatizo
Nifanyeje? Naomben ushauri
Huyu nimwanamke ambaye huwa napenda Kuwaita waongeza idadi.Kwa hiyo anakugegeda bila kinga na wewe upo tu? Nadhani ukapimwe wewe kwanza....ukimwi, mkojo na stool. Ukishapata majibu, mletee ayaone na inaweza kumconvice na yeye akapime, depending na majibu yako.
Yaaan namm nmekuja spidi ,,kusoma tayar keshaliwa alafu sasa ndo anataka kujipa presha ,,uo uchizi ..otherwise twaweza mshaur aachane naye alafu baada yamiezi miwili akamrudia huku akilia """ kwann umeniua ?? "Mh!..mi nilidhan hujampa bado...kumbe anaendelea kuhondomola tu...wala haendi kupima huyo...si ushampa
Weeeeee ,,bila kondom au kupima hunichezeshi aiseee ..una hatar sana we @maimartha! nna ndg nnaishi nae hapa kwangu nikikuambia ana ngoma utabisha na kubisha! kwann km hatak msitumie condom!duh aic umejizira
Mai, shemela kama jogoo yani dakika mbili mmhNimefanya nae Mara 1 tu na aliniandaa vya kutosha na sex yenyewe nadhan haikuchukua hata dakika 2
Dk 2? Huyo jamaa wa mkoa gani?Nimefanya nae Mara 1 tu na aliniandaa vya kutosha na sex yenyewe nadhan haikuchukua hata dakika 2
Hiyo inaitwa kibamia kilichodumaa hahahaaMai, shemela kama jogoo yani dakika mbili mmh
Polen na majukum
Ninampenz tuna mda sio mrefu tangu tumefahamiana.... Ajabu kila nikimwambia tukapime ukimwi ananipa excuse kibao...Mara tutapima tu
Mara una haraka gani?
Mara Niko busy sana
Na tunasex tena bila kinga haoni kama ni tatizo
Nifanyeje? Naomben ushauri
Be Joseverest to reply
Hahahahaaaaa.....ujinga huuNimefanya nae Mara 1 tu na aliniandaa vya kutosha na sex yenyewe nadhan haikuchukua hata dakika 2