Mpenzi chokleti

ebu kaka mkuu nambie iyo utube inasemaje...um jf mobiler aitheee!..

Mi nikijaandaa walau nikuulizie Bagah , kulikoni U Tube ?
Ile hadithi ya wote mko ndani ya Segerea/Isanga , kisha mkasikia mlio wa kwato nje ya compound ! Mmojawenu akauliza "huyo anaepita nje afande nani ?"
ingejirudia hapa.
 
au unaulizia gazeti la leo linahabari gani kwa mfungwa mwenzio...hawa watu wanatutesa...Jg kama nakuona vile na TECNO lako!..LOL
 
ebu kaka mkuu nambie iyo utube inasemaje...um jf mobiler aitheee!..
Hii inaonyesha live show ya mzee Yusuph....
Dah jamaa wanatoa show ya ukweli sana utaienda sana tena mzee Yusuph hajaleta ubishoo hata kidogo....kawapa madancer support kweli...
Ni nzuri sana
 
Mi nikijaandaa walau nikuulizie Bagah , kulikoni U Tube ?
Ile hadithi ya wote mko ndani ya Segerea/Isanga , kisha mkasikia mlio wa kwato nje ya compound ! Mmojawenu akauliza "huyo anaepita nje afande nani ?"
ingejirudia hapa.
Hahahaaaa nimewaidia kwa hapo juu....angalia mkuu
 
Back
Top Bottom