Mpenzi asiyejikubali

bobezi

Member
Joined
Mar 10, 2013
Posts
63
Reaction score
11
wana MMU naombeni ushauri hivi unapokuwa na mpenzi wa kike ambae wewe unamkubali lkn yeye hajikubali mpaka anaboa yaani kila mda yeye ni kujisema ni mbaya ooh eti kucha zake ni mbaya ooh nywele zangu ziko hivi yaani kwa ujumla anajiona c mzuri......ww kama mwanaume ufanye nn
 
Mmmmh huyo anaweza kuwa na mawili, hajiamini au anataka kusifiwa. Hivyo ndo wanawake wengi tulivyo. Unachotakiwa muogeshe na misifa kem kem....
 

Hebu msifie kila kitu chake, kisha angalia .....
 
Kuna mtu hajui hata kumsifia mpenziwe. Na akiulizwa unapenda nywele zangu? Anajibu kawaida. Sifia baba. Saa zingine anajisemesha hivyo manake kuna mtu amemuambia una kucha nzuri na wewe haujawahi kuzitambua. Manake kuna mibandudi anakutana na wewe na hakujui anaropoka tu una vidole vizuri natamani nivilambe.
 

duu aisee itabidi kukomaa sana..
 
Komaa babangu. Ukileta uchaga utashangaa! Saa zingine mnatuacha njia panda aisee. Unajiuliza kama it is worth hanging around. Im just being honest hata sie tunashawishika especially kama mupenzi hawezi kukuweka busy manake nae anajidai yuko busy na ndyofu lol
duu aisee itabidi kukomaa sana..
 
Anataka pesa ya kujiweka sawa anayo kutajia. Haumpagi eeh?

Nilikuwa nakuja hapo hapo........anaona mwanamke ka pendeza vya gharama anadhani kaokota.........gharamikia baba......
 
anaamua kujilipua bado huelewi......gharamikia na misifa juu uone
 
Hayo ni ya kupita tuuu. Ngoja ukioa uone kama utaulizwa tena
 
mjenge kisaikolojia atabadilika.Hakuna binaadam asiye na mapungufu kaka.
 
Hayo ni ya kupita tuuu. Ngoja ukioa uone kama utaulizwa tena

wee! Tena ukioa maswali ndio yanazidi utasikia mara oo hivi sasahiv nimezeeka, nimekuwa na umbo/sura mbaya tofauti na kabla hujanioa. Hasa kama humjali ndio hayo maswali utakumbana nayo
 
anashindwa kukupiga
kibomu cha live so hapo
ni kama anaomba hela akajiweke sawa!
 

Yan hapo afanye kumpaka rangi punda ili amuite pundamilia au?

me nadhan angemwambie tu huyo mpenz wake anampenda the way she is! Yawezekana. Mleta uzi huu anapokuwa na mpenz wake amekuwa akisifia watu wengne kama rafik wa mpenz wake au waigizaji wa muvi kwa kusema wana kucha au nywele nzur that why mpenz wake anajihami kwa kusema hana sifa hizo. Haina haja ya kumpa sifa za kijinga mtu kwamba anakitu flan kizur kumbe unamuongopea tu! Cha msingi amwambie mpenz wake anampenda jinsi alivyo na anaridhika kuwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…