SHANTA
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 162
- 49
Hii ni shida kubwa inayonyemelea jamii ya vijana wetu aisee...you might not believe this lakini A-Town kuna hii sehemu maarufu sana inayopigwa disco bila kiingilio na ni gorofani..hii issue nimeishuhudia mara kadhaa na kuamini kuwa inafanyika,jamaa aliita kabinti wakachombezana...baada ya kukubaliana kuondoka kakamwambia unaonaje nikija na rafiki yangu uongeze ela kidogo=meaning 3some,jamaa akatubeba! SICK MINDS KABISA!
SHANTA
SHANTA