Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu

Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu

duh!!! mwana mbona unalemba...fanya makrke upate threesome hapo na ikiwezekana weka na bia pembeni kwanza mnywe alafu uone game litakavyonoga
 
maisha yamebadilika sana siku hizi kiasi kwamba hakuna mwenyehata haya juu ya mwili wake.
fikiri kukaaa uchi mbele ya mtu mmoja kunavyotisha sasa ndio mtu uko uchi mbele za watu wa2 ama wa3 najiuliza unawezaje??
 
Duuh ni kitu kipya sana masikioni mwangu kama mambo yamekuwa hivyo mchunguze vizuri si bure
 
Utandawazi una mambo jamani
Msanii Senga alisema
Unadhani tunashea kama Ubwabwa.
 
A lot going on in the world and here JF
'
Kama unadhani unaweza kuogelea unaweza tu kujitumbukiza mtoni,lakini kama ulikua umezoea kuogelea visimani ni bora ukawa makini!
 
Chapa ilale, kijanaaaaa? Takecare mbayuwayuuuuuu!
 
Msikilize kwa utulivu ujue hasa nia yake ni nini

Nasikoa.mjini apa group sex zipo kama kawaida nini 3some
 
Back
Top Bottom