Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu

Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu

Habari wakuu,mi na girl mpya ila kwa sasa tumezoeana kidogo km 3 monthes hv,aliniambia hanywi pombe before ila mi nakunywa km kawa,cha kushangaza kuna siku tulizinguana nikamwacha ghetto nikaenda kitaa kupiga moja moto niliporudi sikuamini kulikua na grants ndani ambayo ni yangu alikua akinywa taratibu et stress,nilikausha tu tukaelewana tukaanza majamboz akiwa kalewa kwa mara ya kwanza,game ilikua tamu sana cha ajabu aliniambia naonaje km tukifanya pamoja na msichana mwingine ye yko tayari na ananiamini sitamwacha,ki ukweli mpka leo sijapata jibu huyu ni mtu wa aina gani na anatatizo gani maana si tabia ya kawaida naombeni mawazo yenu wakuu pia yuko commited sana na mi mpka nakosa sababu ya kumtosa.
fantasy threesome
 
Hatakama ni uzinzi basi hapo mmezidi! khaa! sijui tuite nini! maana uzinzi unahafadhali! tutafute jina lingine la dhambi hii!
 
Inawezekana mkuu unakata mauno na kutoa miguno ya kimahaba sasa anataka atafte rijari liwatafune wote na pombe zenu
 
Msagaji
Habari wakuu,mi na girl mpya ila kwa sasa tumezoeana kidogo km 3 monthes hv,aliniambia hanywi pombe before ila mi nakunywa km kawa,cha kushangaza kuna siku tulizinguana nikamwacha ghetto nikaenda kitaa kupiga moja moto niliporudi sikuamini kulikua na grants ndani ambayo ni yangu alikua akinywa taratibu et stress,nilikausha tu tukaelewana tukaanza majamboz akiwa kalewa kwa mara ya kwanza,game ilikua tamu sana cha ajabu aliniambia naonaje km tukifanya pamoja na msichana mwingine ye yko tayari na ananiamini sitamwacha,ki ukweli mpka leo sijapata jibu huyu ni mtu wa aina gani na anatatizo gani maana si tabia ya kawaida naombeni mawazo yenu wakuu pia yuko commited sana na mi mpka nakosa sababu ya kumtosa.

am better here
 
Kama mimi pia nataka kujaribu mapenz ni burudan so y note?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unampango wa kuoa? Wee piga tu upate experience ya threesome
 
mk
lesbo huyo, dunia yako chaguo lako! next time atakuambia wanaume wawili na yeye peke yake, baada ya hapo itakuwa group sex; kama ndio maisha yenu ya ndoa kizazi cha digitali go ahead and have fun.
kaunga naomba mzigo mrembo..mimi sifanyag kwa group
 
Back
Top Bottom