Mpenzi anataka nibebe mimba ndio aende kwetu

Mpenzi anataka nibebe mimba ndio aende kwetu

Achana na huyo mwanaume. Atakuumiza tena.

Mwanamke kama ulimuacha mwanaume, kurudiana nae tena unatafta matatizo.

Utashika mimba yake alafu abaki kukuzodoa kua huna jipya ulikosa soko ndio maana umerudi kwake. Utapoteza thamani yako. Pamoja na hilo hakuna mwanaume anaekataa K zinazojileta zenyewe hata kama hakuhitaji tena.

Hapo hakuna muoaji.

Kwa nini unahofu kua anataka kulipa kisasi? Ulimfanyaje?

Huu ni ushauri wangu wa bure kwa wanawake. Ukimuacha mwanaume kwa sababu yoyote ile usirudiane nae, ukirudiana nae kwake unakua umekosa thamani, maana anakuona kama mtu uliekosa soko huko umerudi.
 
Miaka 33 na mtoto uliyeachiwa baada ya kupewa mimba na kuachwa.

Bado unajiuliza kwa mtu anayetaka kukupa mimba bila kuenda kwenu.
BTW
Sio kila mwanamke anatakiwa kuolewa. Wengine wanatakiwa wawe bebi maza wetu sisi tusioogopa kuzaa nje ya ndoa zetu.!!
 
Upumbavu was sisi wa bongo baadhi ndo huu. Kasi kusambaza mayai hovyo Kama kunguni eti mapenzi ya kweli mpaka mimba pole dadangu mpendwa usikubali upumbavu Kama huo wa kutelekezwa kidzining.alafu wanaume mda mwingine tuwe na huruma na mbegu zetu tunazosambaza hovyo Kama kuku mwishowe mtoto wa watu akienda kutoa was Kwanza kumharibia sifa ni wewe hivi ungetegemea aleaje mtu mwenyewe pengine beki tatu aisee inaniumaga Sana hatua ya kujaga KUOA ndio umakini wangu tuuuu!!alafu mda mwingine mapenzi yasio ya ndoa tue makin nao
 
Jamaa kachukulia kama shamba la bibi kwa rejea ya jamaa uliezaa nae,endapo ukampatia kibwenye atakula then atokomee kusikojulikana,ila mbona umechelewa sana ndoa
 
Mmekutana yeye ni katuni mwenzio umewazaje hata kuomba ushauri,fukuza hiyo konokono shenzii kabisa
 
Umewezaje kumuita mpenzi huyo jamaa?? Hebu edit hiyo title yake kwanza.

Huu Uzi naamini dada tayari ameelewa lisemwalo. Usikubali katu, huyo jamaa atakuacha pia ukishabeba mimba
 
Kila mtu anasema eti Dada ataachwa, kwani hakuna aliyezalishwa kisha mwanaune akaenda kukutambulisha kisha ndoa........... Musikalili maisha.......... Achemi kumbania jamaa, tatizo kipo wapi hapo?, kwani dada kasema ye hataki mtoto?
 
Back
Top Bottom