- Thread starter
- #81
aisee mwache huyo dada atapata shida....unamuoa wewe au wazazi??....
Unaamin mm na yy tutakuwa na maisha gani ikiwa wazazi wangu watamchukulia tafauti na alivyo?
Usije dhan nafanya mambo kwa matakwa ya wazazi, mm binafs sipendi avae pete kwenye vidole vya miguuni, and am sure hata home wakimuona hvyo, they will put a question mark, maana sio kawaida.
Nawaheshimu wazaz wangu, n naheshimu mawazo yao, japo si ruhusu wani dictate kuhusu nani wa kuoa, nani si wa kuoa. Lets stick to what i askes for, a better way of telling her kuwa sitaku kuona hizo pete. Hii ni kabla sijaamua kumuacha. Something of which i know i can do anytime i decide to do soo. Kikubwa kinachonifanya nichelewwe kumuacha, ni ahadi nilojiwekea ya kutulia na huyu binti. And this was aftwr me n her went for HIV check ups, baada ya wote kuwa Negative, sikuona haja sana ya kuanza kuruka ruka, ndio maana nikaja omba Ushauri, kwa kudhan kuwa labda mm ndio nashindwa zungumza nae kiufasahaa.