Mpenzi ananizingua

Mpenzi ananizingua

Put a frog in a vessel of water and start heating the water.

As the temperature of the water rises, the frog is able to adjust its body temperature accordingly.

The frog keeps on adjusting with increase in temperature...

Just when the water is about to reach boiling point, the frog is not able to adjust anymore...

At that point the frog decides to jump out...

The frog tries to jump but is unable to do so, because it has lost all its strength in adjusting with the rising water temperature...

Very soon the frog dies.

What killed the frog?

Many of us would say the boiling water...

But the truth is what killed the frog was its own inability to decide when it had to jump out.

We all need to adjust with people and situations, but we need to be sure when we need to adjust and when we need to confront/face.

There are times when we need to face the situation and take the appropriate action...

If we allow people to exploit us physically, mentally, emotionally or financially, they will continue to do so...

We have to decide when to jump.

Let us jump while we still have the strength.

Think on It !!

Daaah!

Bonge la mtihani Mkuu, sasa napatisha kuuva uhusija, am i the Frog? Ama the boiling water??? If am the Frog, is it time for me to jump off???????..... Aisee Mkuu, nimegundua, una akili sana. Kuvumilia vumilia mambo kuna Ponza sana. Asante.
 
kweli ukipata B unataman A wenzio wanakerwa na mambo makubwa we hilo pia kwako ni shida, anyeway ni mapenzi yako msih aache
 
Unamuona kama shangingi...wakati ni shangingi already sema love inaku blind

The boss,

Sasa si unisaidie baada ya kunichana Live, naona umeishia tuu kutoa hasira zako, am in a situation, ni kama naZama kwenye maji, nanyoosha mkono juu, nisaidie, steps za kufuata ili nielewane nae, zikishindwa ni conclude kuwa nimeshinda, i want to Jump before the water gets hotter my Friend.

Help me The Boss.
 
Alikuwa amezivaa, na nilimwambia sivitaki, akasema atazivua, mpaka sasa hajazivua.

wakati unamwambia hayo masharti ulikuwa unamtongoza au alikuwa anakutongoza? Haiwezekani kumtongoza mtu wakati huo huo unamuwekea masharti. Au ulikuwa unamtongoza kwa shuruti?
 
kweli ukipata B unataman A wenzio wanakerwa na mambo makubwa we hilo pia kwako ni shida, anyeway ni mapenzi yako msih aache

Mkuu,

Kweli, ndio maana hata situmii sana hasira wala pupa ktk hili, nimejongea jamvin kupata nasahaa kisha nichanganye na Akili zangu nijue nafanyaje.
 
Kuna kipindi nilizimika kwa binti mmoja hivi..baada ya mda nikagundua ana bonge la 'chata' mkononi, karibu na bega..niliondoka kimyakimya..!!

kwi kwi kwiiiii...!!
hilo neno la chata long t kinomaa
 
wakati unamwambia hayo masharti ulikuwa unamtongoza au alikuwa anakutongoza? Haiwezekani kumtongoza mtu wakati huo huo unamuwekea masharti. Au ulikuwa unamtongoza kwa shuruti?

Mkuu,

Baada ya kupendezwa nae ndio nikasema nia yangu, kisha nikakubaliwa, sasa mara zote hapo ndio sehemu ya kuwekana sawa, ndio nikaanza na hilo suala, nikamwambia, hicho mguuni umevaa ni cha nn? Akasema ni Urembo tuu, nikamwambia atoe, sijapendezwa navyo, akasema atatoa, lakin hakutoa, mpaka sasa, bado hajatoa, na Jana usiku niligombana nae, nikamwambia, kwa hiyar nimemwambia avitioe amekataa, nitavitoa kwa nguvu, akawa analalamika tuu, sasa mm mwingi wa ghadhabu, nikapanic nikamwambia, akiendelea hivyo kuna siku nitaweka muda, ukiisha hajatoa tutagombana na nikamwambia, will be ready kwa impact yeyote itakayo tokana na huo Ugomvi, sasa, nikahisi huenda njia nayotumia sio sawa, Nikakumbuka Mpo ndugu zangu humu, mmejaaliwa maarifa, basi nikasema nitakuja kupata mawazo tafauti ili nijue, hili nali handle vipi. Mkuu, natambua kuna watu wana matatizo makubwa kuliko yangu, lakini kwa sasa, hili ndio kubwa kwangu, na hapa nakuomba unishauri njia njema ya kulitatua.
 
pole sana kama ameshindwa kukuheshimu na kukutii kwa sasa tna kwa jambo dogo like this

she will never ever ...........respect u
 
Pole sana bro tafuta rafiki zake wenyeheshima wamueleze pengine atabadilika

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wakuu, Heshima kwenu, moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu.

Nina Mpenzi, tumekuwa pamoja for a while now, ila nagombana nae kitu kimoja tu, kila siku. Anapenda sana kuvaa pete kidole cha pili baada ya dole gumba, tena miguu yote miwili, nishamsihii sana, azivue lakini, husema nitavua, lakin hazivui, tukakubaliana, asije kwetu mpaka azivue, lakini keshakuja twice na hajazivua.

Kiufupi, mimi sipendi avae pete mguuni, naoana kama ni Ushangingi, naona kama nikimezea, kuna siku nitamkuta na vikuku, ni vitu vya kawaida kwa wengine, lakini kwangu vinanikera mno.

Sasa jaman, nifanyeje? Naombeni Muongozo maana, nakuwa simuelewi, namuuliza sabau ya kuzivaa, hanipi jibu la maana, au alivishwa na x wake nn? Sasa anaziacha kama ukumbusho? Au ni nini? Mi sielewi, nachoelewa nakereka na hii hali na nataka iishe. Nifanye nini?

Thanking you in Advance.

Achana naye. Hakufai. Mpige chini
 
pole sana kama ameshindwa kukuheshimu na kukutii kwa sasa tna kwa jambo dogo like this

she will never ever ...........respect u

Kinachonipa shaka, ni Ugumu gani anaupata kuzivua??? Kwann hataki kuzivua? Ana loose nn akizivua? Nashindwa kumuelewa. Let me not think of other thingz.. Naomben mnishauri, nifanye nn? Ni muache? Nitapata mwingine with another thing nae nimuache? Afu unajua, humans we r not perfect, nami nina mapungufu yangu, najaribu kubalance mambo naona hayendi, sasa nifanyeje? Au nimchukulie kama malaya? Nifanye yangu nisogee, but nitafanya hivyo mpaka lini?
 
Pole sana bro tafuta rafiki zake wenyeheshima wamueleze pengine atabadilika

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Am close to her mother, Mama yake anajua nina Urafiki na mwanae, should i speak with her mother?

Kuna jambo sijalisema humu, humu binti kakuzwa na Mama yake, baba yake alifariki when she was a little girl, na ni mtoto wa mwisho, kuna mambo mengi nayawaza, naona yatanipa stress, afu nisha dhamuria kutulia nae, sasa hili linanikwaza, najiuliza kama mm na yy tutasogea kweli kwa hali hii? Au nianze kutizama side Mirrors n see if i can chepuka?
 
Achana naye. Hakufai. Mpige chini

Hizi Mambo zingekuwa rahisi hivi, single ladiez mtaan wangekuwa wengi, kwanza nisaidie tuone kama tunaweza mbadilisha, nitaacha wangapi Mkuu?

Demu wangu wa kwanza nilimuacha, kwasababu alikuwa ananinyima Papuchi mpaka eti nimuoe, nikapiga nyeto karibia Uchizi, nikamuacha.

Wapili, akawa hataki niende kaIni, yaan muda wote tuu niwe nae, nae huyu hakuishiwa shida, kila siku anashida, kila siku kwao kuna shida, akawa anawatuma mpaka wadogo zake, waje kuchukua nauli za shule kwangu, Nikamuacha,

Sasa nimempata huyu, na vipete vyake, nae namwambia avue hataki, ananizuga atavua lakin siku zinaenda havui, nae nimuache.

Aiseee. Nitaoa kweli?????
 
Mkuu,

Baada ya kupendezwa nae ndio nikasema nia yangu, kisha nikakubaliwa, sasa mara zote hapo ndio sehemu ya kuwekana sawa, ndio nikaanza na hilo suala, nikamwambia, hicho mguuni umevaa ni cha nn? Akasema ni Urembo tuu, nikamwambia atoe, sijapendezwa navyo, akasema atatoa, lakin hakutoa, mpaka sasa, bado hajatoa, na Jana usiku niligombana nae, nikamwambia, kwa hiyar nimemwambia avitioe amekataa, nitavitoa kwa nguvu, akawa analalamika tuu, sasa mm mwingi wa ghadhabu, nikapanic nikamwambia, akiendelea hivyo kuna siku nitaweka muda, ukiisha hajatoa tutagombana na nikamwambia, will be ready kwa impact yeyote itakayo tokana na huo Ugomvi, sasa, nikahisi huenda njia nayotumia sio sawa, Nikakumbuka Mpo ndugu zangu humu, mmejaaliwa maarifa, basi nikasema nitakuja kupata mawazo tafauti ili nijue, hili nali handle vipi. Mkuu, natambua kuna watu wana matatizo makubwa kuliko yangu, lakini kwa sasa, hili ndio kubwa kwangu, na hapa nakuomba unishauri njia njema ya kulitatua.

Hiyo kali, alipokubali tu ukampa amri ya kuvua hayo makitu hapo hapo!
Kama hataki kuyavua hayo madude na wewe hutaki kumuona ameyavaa, basi huna budi kufuata misemo hii "mafahari wawili hawakai zizi moja, ukihisi koti linakubana livue " ulimkuta anayavaa kabla hata hujamtongoza, pia hakukuita ukamtongoze, kama vipi kaa kando.
 
Ha ha ha haa. Sawa. Nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom