Mpenzi ananizingua

Mpenzi ananizingua

Alikuwa amezivaa, na nilimwambia sivitaki, akasema atazivua, mpaka sasa hajazivua.

Sasa na wewe ulianzaje mahusiano na mtu wa namna hiyo, kwani wasiovaa hivyo vitu hukuwaona? wanaume wengi mnatabia hizo, unakuta mkaka ataka mahusiano na msichana anaevaa suruali wakianza mahusiona anamwambia hataki avae wakati wasio vaa hizo suruali aliwaona, sasa ni hivi ndugu yangu hapo labda tu uamua kuachana nae utafute mwenye vigezo unavyovitaka lakini usitegemee atabadilika
 
Una shindwa nini kumuacha??

Mkuu, sijashindwa kumuacha, but is it the right reason for me to make such a decision? Nadhan ndio swali naloomba mnisaidie kufahamu tuu Mkuu.
 
reason siyo pete.. sababu ya kumwacha ni yeye kutokusikiliza ... alafu wewe na yeye ni usiku na mchana... ana mambo yake na maisha yake lazima mtengeneze maisha mtayoishi pamoja ya kuelewana,,, sasa kama hataki now unategemea mkiwa na miaka 2 kwenye mahusiano si vita tayari.... ishi kesho na si leo kijana
 
Sasa na wewe ulianzaje mahusiano na mtu wa namna hiyo, kwani wasiovaa hivyo vitu hukuwaona? wanaume wengi mnatabia hizo, unakuta mkaka ataka mahusiano na msichana anaevaa suruali wakianza mahusiona anamwambia hataki avae wakati wasio vaa hizo suruali aliwaona, sasa ni hivi ndugu yangu hapo labda tu uamua kuachana nae utafute mwenye vigezo unavyovitaka lakini usitegemee atabadilika

Unaelewa, hupangi kumpenda mtu, hupangi kuwa na mtu, kuna vinavyokufanya mpaka unatokea kupendezwa na mtu, pia kila mwanadamu ana madhaifu yake, baada ya kusema atazivua, niliamini, n mpaka sasa bado nampa hiyo nafasi, what i want from you friendz ni ushaur, on how to handle this well...
 
Sasa na wewe ulianzaje mahusiano na mtu wa namna hiyo, kwani wasiovaa hivyo vitu hukuwaona? wanaume wengi mnatabia hizo, unakuta mkaka ataka mahusiano na msichana anaevaa suruali wakianza mahusiona anamwambia hataki avae wakati wasio vaa hizo suruali aliwaona, sasa ni hivi ndugu yangu hapo labda tu uamua kuachana nae utafute mwenye vigezo unavyovitaka lakini usitegemee atabadilika

Hivi kuna mwanamke asiyevaa suruali karne hii.? Mie bora wangu avae suruali kuliko kimini..!
 
reason siyo pete.. sababu ya kumwacha ni yeye kutokusikiliza ... alafu wewe na yeye ni usiku na mchana... ana mambo yake na maisha yake lazima mtengeneze maisha mtayoishi pamoja ya kuelewana,,, sasa kama hataki now unategemea mkiwa na miaka 2 kwenye mahusiano si vita tayari.... ishi kesho na si leo kijana
jamaa hana hela ndo maana dem hataki kuvua.akuulize wewe jinsi ninavyomwaga hela kwako
 
Put a frog in a vessel of water and start heating the water.

As the temperature of the water rises, the frog is able to adjust its body temperature accordingly.

The frog keeps on adjusting with increase in temperature...

Just when the water is about to reach boiling point, the frog is not able to adjust anymore...

At that point the frog decides to jump out...

The frog tries to jump but is unable to do so, because it has lost all its strength in adjusting with the rising water temperature...

Very soon the frog dies.

What killed the frog?

Many of us would say the boiling water...

But the truth is what killed the frog was its own inability to decide when it had to jump out.

We all need to adjust with people and situations, but we need to be sure when we need to adjust and when we need to confront/face.

There are times when we need to face the situation and take the appropriate action...

If we allow people to exploit us physically, mentally, emotionally or financially, they will continue to do so...

We have to decide when to jump.

Let us jump while we still have the strength.

Think on It !!

Mkuu nimeipenda hii...!
 
Hivi kuna mwanamke asiyevaa suruali karne hii.? Mie bora wangu avae suruali kuliko kimini..!

Wapo bn nawe m mwnyew sivaigi mbn navaa ndefu ka nn

Bro mtoa mada pole zako .... km vp mvumilie ukiendelea kumkanya na pete zake hzo asipoelekea tn utakua utovu wa nidham ndo hpo uamue mwnyw kumvumilia au separing eeeh
 
Back
Top Bottom