- Thread starter
- #21
Hapana yaan 30 yrs ndo uanze kandamnas mm nataka kuwa na mahusiano yenye miziziMkuu fikisha walau 30yrs hutokuja tena na nyuzi za maembe kama hizi....amini kwamba
Hapana yaan 30 yrs ndo uanze kandamnas mm nataka kuwa na mahusiano yenye miziziMkuu fikisha walau 30yrs hutokuja tena na nyuzi za maembe kama hizi....amini kwamba
Kukimbilia ndoa bila kuzoeana na msichana ni ujinga inabod mshibane kwanzaHii ni dhalau mtu hujamuoa ukiwa na genye uje kwa ajili ya just sex? Ni chombo cha starehe ?unafanya unavyotaka as if ni mkeo? Hata kama ni wapenzi haimaanishi ufanye unachotaka at any time. Kama unataka umpate at any time muoe. Kha!
Mshibane kwa kuendekeza ngono? Ukikua utaacha.Kukimbilia ndoa bila kuzoeana na msichana ni ujinga inabod mshibane kwanza
Tatizo afadhali inhekuwa tabia yke toka awal lkn hii imekuja gafla zaman hakuwa hvkuna mmoja kama huyo alikua anasubiri mimi ndiyo niwe wakwanza kumtafuta, nikaamua kukaa kimya nione mwisho wake.
Ni mwezi wa 4 sasa kila mtu yupo kimya analijenga taifa.
Wadau nipen ushaur nimuanze au nimuache !! Maana nahis ni km analipiza kiyendo cha mm kumchunia kwa zile siku mbili
Lazima "mchafuke" ili "mjifunze".Wote tumazaliwa 1996 ila mm jan yy september
Ulipokosea ni hapo "kupenda sana" rekebisha afu ulete mrejesho.


kuna mmoja kama huyo alikua anasubiri mimi ndiyo niwe wakwanza kumtafuta, nikaamua kukaa kimya nione mwisho wake.
Ni mwezi wa 4 sasa kila mtu yupo kimya analijenga taifa.


Ndo ivo mkuu akizoea hawezi akaumia hvEti wanapendana sana
Huyu bado sana kwenye hii sekta!
Achana na mapenzi mtoto, waza mitihani, mapenzi utayaelewa na kuyafurahia ukiwa mkubwa, sawa mtoto mzuri eeh??Habarini wana jamii forums huwa napenda sana michango yenu humu maana kuna watu wapo bright sana na wana ushauri mzuri sana
Ipo hivi, nina mpenzi wangu tuna miaka miwili sasa katika mahusiano yetu siku hizi ameanza katabia hanitafuti kabisa na mimi nikinyamaza nae anakaa kimya
Zamani alikuwa akiona nipo kimya alikuwa anakosa amani na lazjma aje nyumban yaani ilikuwa ni lazima tuwasiliane siku kabla haijakatika
Ajabu nyingine ni kwamba licha ya kutonitafuta lakini nikimtafuta mimi tunaongea vizuri tunachat bila shida yoyote
Najiuliza shida ni nini kwanini hanitafuti au labda analipiza kisasi maana hapo majuzi aliniudhi nilimwambia kesho tukutane maana nina hisia kali na baridi akakubal ajabu kesho hakuja akaniambia home kwao kuna ibada alinijibu ucku mida ya saa 4 wakat mimi nilimtafuta jion na nilichomoka kazini ili tu nionane nae nikaacha shughuli zangu nilikasirika sana sikumjibu kitu
Kesho yake jioni alinitafuta kwa sms sikumjibu kitu kesho tena akanitafuta sikumjibu kitu nilikuwa bado na hasira pia niliwaza nikichomoka tena job ili nimuwahi yeye itakuwa kama mimi ndio najali sana sex kuliko mambo yangu ivo nikaogopa fedheha hiyo
Sasa kesho yke tena nikamtafuta mm 2liongea vzr tu lkn toka apo hajanitafuta tena upo kimya na si kawaida yake nawaza nimuanze mimi tena au na mimi ninyamaze
ndo mana nkasema tafuta ajali wako wa kufanana naeHapo hamna mapenz eti mwez mzima mmmh aiseee hio mm siwez nisipowasiliana nae siku nakosa aman na ilikuwa ivp toka awali lkn sasa kabadilika
amebadilika kwasababu kapata mtu mwingine.Tatizo afadhali inhekuwa tabia yke toka awal lkn hii imekuja gafla zaman hakuwa hv