Kwa nin msijikite kwenye kusoma kwanza?Wote tumazaliwa 1996 ila mm jan yy september
Sms nikimtumia anajibu sema nisipotuma nae anakaa kimyaKWELI WANAUME TUMEBAKI WACHACHE DUNIAN .....DEMU ANAKUDHARAU BADO UNA MAWAZO NAE. BINASFI DEMU ASIPO JIBU MESEJ ZAID YA MBILI ..NAPGA CHIN
Kusoma nn mkuu? alaf Toleo la 1996 ndo waliograduate mwak jana asome mastaz au? Gegedaneni nyinyi hapa washaur wtawatenganisha MSAMEHEANE tu mambo mengne mtaambiw kitchen partyKwa nin msijikite kwenye kusoma kwanza?
Yaan sina aman apa nasubir mda wa kaz uishe nikalale
kama unadate na mtoto unataka ushauri gani?Achana na mambo ya lika we nipe ushaur
Achana na mambo ya lika we nipe ushaur
[/QUOTDemu haAchana na mambo ya lika we nipe ushaurEti tunapendana sana!!!! Unaweza kumsemea mwanamke wewe?Hpn hii sio first love ila tu niseme ukwel tumapendana sn