Habarini wana jamii forums huwa napenda sana michango yenu humu maana kuna watu wapo bright sana na wana ushauri mzuri sana
Ipo hivi, nina mpenzi wangu tuna miaka miwili sasa katika mahusiano yetu siku hizi ameanza katabia hanitafuti kabisa na mimi nikinyamaza nae anakaa kimya
Zamani alikuwa akiona nipo kimya alikuwa anakosa amani na lazjma aje nyumban yaani ilikuwa ni lazima tuwasiliane siku kabla haijakatika
Ajabu nyingine ni kwamba licha ya kutonitafuta lakini nikimtafuta mimi tunaongea vizuri tunachat bila shida yoyote
Najiuliza shida ni nini kwanini hanitafuti au labda analipiza kisasi maana hapo majuzi aliniudhi nilimwambia kesho tukutane maana nina hisia kali na baridi akakubal ajabu kesho hakuja akaniambia home kwao kuna ibada alinijibu ucku mida ya saa 4 wakat mimi nilimtafuta jion na nilichomoka kazini ili tu nionane nae nikaacha shughuli zangu nilikasirika sana sikumjibu kitu
Kesho yake jioni alinitafuta kwa sms sikumjibu kitu kesho tena akanitafuta sikumjibu kitu nilikuwa bado na hasira pia niliwaza nikichomoka tena job ili nimuwahi yeye itakuwa kama mimi ndio najali sana sex kuliko mambo yangu ivo nikaogopa fedheha hiyo
Sasa kesho yke tena nikamtafuta mm 2liongea vzr tu lkn toka apo hajanitafuta tena upo kimya na si kawaida yake nawaza nimuanze mimi tena au na mimi ninyamaze