Mpenzi aliyenisaliti amerudi, nawaza nimfanye nini?

28October

JF-Expert Member
Aug 26, 2020
285
362
Habari wana bodi,

Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta taarifa zake zote kwenye kitarakilishi changu (computer na simu) sikutaka kabisa kumsikia ila moyoni nilikuwa na maumivu yaliokuwa ykiwaka moto mzito,

Hatimaye amemtafuta mtu wangu wa karibu na kuomba kuonana na mimi ili tuongee, lakini main pont yake kuu ni kutafuta suluhu kwa kilicho tokea katikati yetu (usaliti alionifanyia), uyu binti aliniachia maumivu makali sana wana JF, nilimpenda na kumthamini sana kwa kila kitu ila aliamua kwenda.

Wakuu, huyu binti napanga siku ya kuonana nae nifanye nini (niongee nae nini, nimpangeje ili baadae nije kumpiga tukio zito), maana nahisi moyo wangu una hasira na chuki juu yake kama mbogo, ila sizionyeshi kwake waziwazi, nataka nimpitishe kwenye ziwa la miiba ili atakae kuja kumuoa uyu binti basi binti awe na adabu na heshima.

NINI NATAKA KUTOKA KWENU:

Hyu binti nataka nimuweke kwenye mazingira ambayo afurahi kuwa na mimi uku nikimuandalia tukio lake la surprise.

Natamani nipate experince kwenye issue ya X wako kurudi ulimpa adhabu gani kuu, ambayo atokuja kuisahau (sio kumdhuru kimwili noo).

Najua watakakuja watu hapa na kusema samehe na sahau, No ilo nalijua
 
Maisha yako yamesimama? Umepoteza equilibrium? Ulituma maombi, yakakubaliwa, ukajimwaga kwa jinsi ulivyoona. Mwingine akatuma maombi, akakubaliwa, ukapunguzwa wewe uliyezoeleka, akagundua ametupa almasi mchangani kwa kipande cha chupa, SASA analeta maombi kwako, ni jukumu lako kuyakubali au kuyakataa, suala la kumpiga tukio linatokea wapi tena?

Umemuumba wewe? Umemzaa wewe? Umemuoa? Yeye kafanya maamuzi ya kike, kukutema na kukurudisha; fanya maamuzi ya kiume, kupigana tukio na kusutana ni sawa tu, na hayo ndo maamuzi ya kike.

Unaruhusiwa kupiga tukio kwenye kutafuta faranga tu
 
Mwanasaikolojia chiddy Benz wa uberigiji alisema siku zote mwanamke haeleweki,anauwezo mkubwa wa kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa...
,,,. Maana yangu n kwamba msamehe na usifikirie kumpa jeraha.
Wajua msamaha wako ni adhabu ya kisaikolojia juu yake.Naogopa sana adhabu za kisaikolojia mkuu.
 
Habari wana bodi,
Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta taarifa zake zote kwenye kitarakilishi changu (computer na simu) sikutaka kabisa kumsikia ila moyoni nilikuwa na maumivu yaliokuwa ykiwaka moto mzito,

atimaye amemtafuta mtu wangu wa karibu na kuomba kuonana na mimi ili tuongee, lakini main pont yake kuu ni kutafuta suruhu kwa kilicho tokea katikati yetu (usaliti alio nifanyia), uyu binti aliniachia maumivu makali sana wana JF, nilimpenda na kumthamini sana kwa kila kitu ila aliamua kwenda.

wakuu, uyu binti napanga siku ya kuonana nae nifanye nini (niongee nae nini, nimpangeje ili baadae nije kumpiga tukio zito), maana nahisi moyo wangu una hasira na chuki juu yake kama mbogo, ila sizionyeshi kwake waziwazi, nataka nimpitishe kwenye ziwa la miiba ili atakae kuja kumuoa uyu binti basi binti awe na adabu na heshima.

NINI NATAKA KUTOKA KWENU:

uyu binti nataka nimuweke kwenye mazingira ambayo afurahi kuwa na mimi uku nikimuandalia tukio lake la surprise.

natamani nipate experince kwenye issue ya X wako kurudi ulimpa adhabu gani kuu, ambayo atokuja kuisahau (sio kumdhuru kimwili noo).

Najua watakakuja watu hapa na kusema samehe na sahau, No ilo nalijua
Aidha samehe ama achana naye maisha yaende mbele , wewe ni mwanaume , na duniani tegemea kukutana na mengi sana kabla ya kurudia mola wako. Ukianza kufikiria mipango ye kufanya revenge kwa wanawake ujue unaanza kupoteza uelekeo . Huwezi kusamehe achana naye
 
Mimi kuna mmoja niligundua ananisaliti, nilikuwa namtumia pesa ya matumizi, kama sina nilikuwa namwambia achukue sehemu halafu nikipata tunalipa. Sasa nilivyogundua ujinga wake, alivyoniomba pesa nikamwambia kopa nitalipa, kweli akakopa, halafu nikaingia mitini. Alipiga simu, sms mpaka akachoka. Wakapelekana polisi, sijui alilipa vipi.
 
Kama umeshajenga chuki dhidi yake, haina haja kumrudia kinafiki, endelea na msimamo wako wa awali, ni adhabu tosha kwake.
 
Mkuu

Mimi x wangu huwa namlipa kisasi kikali mno.

Baada ya kulia sana na maumivu ya kutosha huwa nasamehe.

Akinisalimia namjibu kama hajawahi kunitendea lolote, namuombea aishi miaka mingi ili aone nikimea tena baada ya maumivu aliyonipa kupona.

Kifupi nakuwa normal, na inanisaidia sana kuwa na amani moyoni.

Sasa ya nini upoteze muda wako kumlipa mtu, mambo mengine acha nature ifanye kazi yake, anayekufanyia ubaya ni kama anapanda mbegu ambayo ataivuna mwenyewe baadae.

Malizia maumivu yako uwe busy na maisha mengine, utalipa visasi kwa wangapi?
 
asante kwa mawazo yako.
 
Habari wana bodi,
Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta taarifa zake zote kwenye kitarakilishi changu (computer na simu) sikutaka kabisa kumsikia ila moyoni nilikuwa na maumivu yaliokuwa ykiwaka moto mzito,

atimaye amemtafuta mtu wangu wa karibu na kuomba kuonana na mimi ili tuongee, lakini main pont yake kuu ni kutafuta suruhu kwa kilicho tokea katikati yetu (usaliti alio nifanyia), uyu binti aliniachia maumivu makali sana wana JF, nilimpenda na kumthamini sana kwa kila kitu ila aliamua kwenda.

wakuu, uyu binti napanga siku ya kuonana nae nifanye nini (niongee nae nini, nimpangeje ili baadae nije kumpiga tukio zito), maana nahisi moyo wangu una hasira na chuki juu yake kama mbogo, ila sizionyeshi kwake waziwazi, nataka nimpitishe kwenye ziwa la miiba ili atakae kuja kumuoa uyu binti basi binti awe na adabu na heshima.

NINI NATAKA KUTOKA KWENU:

uyu binti nataka nimuweke kwenye mazingira ambayo afurahi kuwa na mimi uku nikimuandalia tukio lake la surprise.

natamani nipate experince kwenye issue ya X wako kurudi ulimpa adhabu gani kuu, ambayo atokuja kuisahau (sio kumdhuru kimwili noo).

Najua watakakuja watu hapa na kusema samehe na sahau, No ilo nalijua
Msamehe hainaga makombo!
 
Wabongo bwana! Je kama yumo humu!
 
Kabla ya kufanya unachofikiria, jiulize ulishakuwa au ulifanya na wasichana wangapi? Na Kati yao wangapi ulivunja mahusiano nao? Je walipa kisasi?
 
Back
Top Bottom