Mpenz wangu anastyle za ajabu.

Wee vipi sasa we ulitaka akae tuu kama ***** kila siku wewe unaenda unafundishwa unakuja unampa mambo na yeye kaamua kujituma bhana ili ngoma iende sawa nipe nikupe,, acha izo wewe tulia mtoto akupe mambo matamu.
 
Sasa ww ulitaka awe anadesa staili toka kwako tu, ameamua ku-google ili muwe pamoja, hofu ya nini? ww msifie/mpongeze kwa kujituma.
 
usisafirishe sana mawazo kwani inawezekana anafundishwa na wasichana wenzake na sio kama unavyofikiri,hata hivyo hilo la pili la kufundishwa na viboy mander sio la kulipuuzia.
 
ungedadavua style gani zinakuogepesha......watu wengine shida asipokuwa mbunifu ungesema goigoi kila kitu hadi umefundishe sasa ameamua kujifunza unahaha........zipo njia nyingi za kujifunza
 
Mkuu, punguza wivu....kwani na yeye alikuuliza zile style ulizomfundisha ulizijulia wapi? EQUALITY FOR ALL. Je kama ameangalia kwenye movies?
 
Jamani mi nina demu wng nampenda kweli kweli.
Mwanzoni katika mapenz alikuw hajui ki2, mimi ndiye niliekuwa namfundisha vijistaili vyangu vichache.

Lakini cha kushangaza na kustaajabisha, cku hz amekuw ana staili mpya kila 2napofanya tendo, tena za ajabu ajabu hadi naogopa.

Hebu nisaidieni katika hli, mi nahc kuna m2 anamfundisha.

Wewe ulifundishiwa wapi? Walikokufundishia wewe ndiko anakofundishiwa yeye!
 
Alikua anakupima pumzi yako kama unajua au laa,sasa na yeye zamu yake kukuonyesha manjonjo unasema style za ajabu
ebu sema inaweza kua zaajabu kwako lakini kwa wenzio zakawaida kabisa.......
 
Jamani mi nina demu wng nampenda kweli kweli.
Mwanzoni katika mapenz alikuw hajui ki2, mimi ndiye niliekuwa namfundisha vijistaili vyangu vichache.

Lakini cha kushangaza na kustaajabisha, cku hz amekuw ana staili mpya kila 2napofanya tendo, tena za ajabu ajabu hadi naogopa.

Hebu nisaidieni katika hli, mi nahc kuna m2 anamfundisha.

Tunajifundisha wenyewe kwenye story zetu za hapa na pale wala sio mwanaume.Badala ufurahi unasex huku unashangaa,kazi kweli kweli,tusipokuwa watundu kitandani tatizo,tukiwa watundu tumefundishwa na wanaume,jamani looh!!By the way pole mwambie awe anatulia tu wa uhangaike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom