Mpenz wangu anastyle za ajabu.

Mpenz wangu anastyle za ajabu.

Ameona vijistaili vyako havimpagawishi sasa shurti kwa style zake...Kama unaenjoy basi we endelea kufurahia ila kama unaogopa labda utavunja shingo, kiuno, mgongo au naniliu basi inabidi umuombe mrudi kwenye vijistaili vyako.



Jamani mi nina demu wng nampenda kweli kweli.
Mwanzoni katika mapenz alikuw hajui ki2, mimi ndiye niliekuwa namfundisha vijistaili vyangu vichache.

Lakini cha kushangaza na kustaajabisha, cku hz amekuw ana staili mpya kila 2napofanya tendo, tena za ajabu ajabu hadi naogopa.

Hebu nisaidieni katika hli, mi nahc kuna m2 anamfundisha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom