mpenz kaniacha kisa sina hela

Umesahau " HAPENDWI MTU INAPENDWA POCHI" asa we Pochi huna unategemea miujiza ama?
 
Bora kakuambia mapema wenzio wanalizwa hivyo wako kwenye ndoa, piga chini kama unakifua!
 
Duh!hizi masters za bongo nazo!
 

Kama unapesa demu wa nini sasa. Digiriii pesa vyeti mzigo ndugu.
 
weee kweli huna hela unalalamika kwa elfu 20 tuu.ungemtia stress 2 mtt wa wa2..
kajiunge saccos au vicoba utapataga asiyeomba hela maana mtakuwa wote mnakopa na kukopeshana ati..
life goes on boooy!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa hapa unataka ushauri gani,ameshakuambia hakutaki,mimi mademu wapenda pesa nawapenda kweli kwasababu wanaleta changamoto za kutafuta hela,kama vipi zitengenezee fremu hizo picha za uchi ziwe zinakuliwaza!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Either you teach her the hard lesson or quit fasta sana...
 
Wee si unasoma mastaz? Unasound kama la saba.

Sasa kuwa na picha zake za utupu ndio nini? Unataka kumlipua? Ndio atarudi?

Keshakwambia unamharibia ndoa, afu unatuuliza kama anakupenda, kweli? Atakupendaje afu akumwage?

Grow up!

Hayo ndo matatizo ya kupitiriza mastaz kwa GpA za kupewa
 
Potezea huyo wacha hiyo iwe chachu ya ww kutafuta hela kwa hasira then ukizipata hao madem watakufata wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…