mr traders
Member
- Oct 27, 2012
- 38
- 15
wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika malengo yenu, ila cha ajabu mara ya mwisho kama week tatu zilizopita aliniomba elfu 50, k ukwel nilikuwa sina hela coz nilimwambia sa hv najianda kulipa ada ya masters na nimeshaanza tayar , ndipo demu kaanza kuninunia nikipigia anaongea ktwa dharau, mara sikutak hujawah kunipa lolote nachokuomba ila ukwel nimempa vitu ving mno pesa ndogo kama buku 20 mara kibao nikipata, zawad , na huyu msichana naye yupo chuo moshi mwaka wa 3 na mm ndo nimemtoa sealed kwenye mapenz so nimetoka naye mbali sana cha kushangaza juz kaniambia hanitak tena, mm s mjal, s mpi hela anatafuta mwenye hela na jana usiku kaniambia marufuku nisimpigie simu namwaribia ndoa yake mm naona kama muujiza vile. cha ajabu huyu mpenz wangu kaacha nguo zake geto kwangu, na ana baadhi ya vitu vyangu kama funguo zangu za geto, pia alikuwa akija geto ananiambia nimpige picha za uchi na ninazo kwenye computer yangu mpaka sasa. je huyu kwel atakuwa ananipenda? na je nikikutana na mama yake nitamwambia je? na huyo msichana nikimwambia njoo uchukue nguo zako ananitukana.
wadau naomben ushaur wenu nifanyeje? kwa sasa nina stress sana sana

Wee si unasoma mastaz? Unasound kama la saba.
Sasa kuwa na picha zake za utupu ndio nini? Unataka kumlipua? Ndio atarudi?
Keshakwambia unamharibia ndoa, afu unatuuliza kama anakupenda, kweli? Atakupendaje afu akumwage?
Grow up!
kwa hapo umenena shigongo anakupa 80 elfu yako unapotea kama nilikuwa pc za mshindi wa miss Tanzania namba 5 za utupu nikajilia zangu mpunga ila luku kaponea chupu chupu isingekuwa kesi yake ningeshashughurika mudapicha za uchi kaka unazo sasa unashindwaje kupata revenge kaka....sambaza kwa marafiki zake na global publishers