Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,611 Sep 25, 2013 #81 venine said: duh! kweli kuna safari ndefu sana ya kumkomboa mwanamke wa ki-TZ kutoka kwenye unyanyasaji wa kijinsia na mfumo dume. sasa huyo anayeomba mwenyewe agombezwe, siku ukimkung'uta atakubali kweli kwenda kukulaza polisi? Click to expand... kula like hapo mkuu natumia nokia tochi
venine said: duh! kweli kuna safari ndefu sana ya kumkomboa mwanamke wa ki-TZ kutoka kwenye unyanyasaji wa kijinsia na mfumo dume. sasa huyo anayeomba mwenyewe agombezwe, siku ukimkung'uta atakubali kweli kwenda kukulaza polisi? Click to expand... kula like hapo mkuu natumia nokia tochi
J JICHO TAI JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,106 Reaction score 670 Sep 25, 2013 #82 Kongosho said: He he he, id yako inajieleza vizuri kabisa, kumbe 'mutahappy' ni mkaka? Ukiona hivyo ujue keshaanza kukuona zoba na haoni kama uko 'firm' Kiukweli hapo kakwambia 'Be a man' in a polite way na wewe bado unashangaa shangaa. Utamwagwa sasa hivi. Click to expand... nami nikajiuliza mkaka anaitwa happy!
Kongosho said: He he he, id yako inajieleza vizuri kabisa, kumbe 'mutahappy' ni mkaka? Ukiona hivyo ujue keshaanza kukuona zoba na haoni kama uko 'firm' Kiukweli hapo kakwambia 'Be a man' in a polite way na wewe bado unashangaa shangaa. Utamwagwa sasa hivi. Click to expand... nami nikajiuliza mkaka anaitwa happy!