Mpeni wangu hatoi ute (wetting) wakati wa kufanya mapenzi

Mpeni wangu hatoi ute (wetting) wakati wa kufanya mapenzi

Aen Urner

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
388
Reaction score
380
Naombeni Mawazo yenu wanajukwaa,

Mimi Nina mpenzi wangu wakati wa tendo uke hautoi unyev wa kutosha, unatoa kidogo Sana wakati machine inazama hii hupelekea yeye kutofurahia tendo Kwa kuhisi maumivu ingawa huwa najitahidi kumuandaa ipasavyo na Kwa muda mrefu lakini bado haisaidii

Nakaribisha Ushauri na Mawazo yenu.

Ahsante.
 
Hakufeel huyo, hana msisimko, jichunguze pia, unaoga vzur, unapiga mswak, mazingira ya geto mazur, unanukia, nguo saf, maana sometime unaweza mtoa mwenzio kwenye mood kwa kasoro hzo hata kama anakupenda
Mkuu swala la huyu demu kunifeel sina Shaka nalo kabisa, ananikubali sana nko nae ni Miaka 2 sasa khyo namuelewa vizuri
 
Siyo masihara huyo demu wake, atakuwa na stress ambazo waweza kuta chanzo ni yeye huyu mlalamikaji, au maambukizi ya mgonjwa ya zinaa.

Ampe muda wa kumsikiliza atakojoa vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana
mi namuelewa sana unaweza ukaandaliwa ukamfeel mtu sana,akili ikafocus kwenye tendo, akakuweka dola 10000 kwenye matiti na bado usiwe wet.. Tatizo la kibaiolojia hilo mkuu
 
Hapana
mi namuelewa sana unaweza ukaandaliwa ukamfeel mtu sana,akili ikafocus kwenye tendo, akakuweka dola 10000 kwenye matiti na bado usiwe wet.. Tatizo la kibaiolojia hilo mkuu
Hahahhah.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wewe hapo uwekewe midolali kwa manyonyo maji yasiruke..! natania maana nimeimagine ndiyo dudu yangu imesimama dede afu na midolali nimekurushia usivutiwe [emoji3515][emoji3515]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhah.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wewe hapo uwekewe midolali kwa manyonyo maji yasiruke..! natania maana nimeimagine ndiyo dudu yangu imesimama dede afu na midolali nimekurushia usivutiwe [emoji3515][emoji3515]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2]unavutiwa ila maji hamna.
kama ana maji hata usipompa mia yanavuja tu
 
Back
Top Bottom