Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,519
Jiwe alijifanya mjuaji changamoto ikapita naye hata mabilioni aliyojikusanyia hakuyala.Raisi hatakiwi kukubali presha kutoka kwa Mtu yoyote. Anatakiwa kusimama kile anaamini, Kama anakubali kuletewaletewa majina ya mfukoni au presha basi atapata Sana shida.
Pia ajipe muda, sioni haraka ya kuteua
Wewe ndio maana mods walikupiga ban!Emb tulia wewe mzee. Kwa hiyo hata yule dogo wa Yohana university tungemuacha tuu kwakuwa tunatakiwa kumpa muda? Nikueleze tu kuwa ambaye "Sipangiwi" ameshaondoka zake. Kilichobaki ni wewe kubadili mtindo wa ngoma la sivyo sonona itakuondoa.
Na Slaa anarudi keshokutwa bongo.
Raisi akisimamia kile anachoamini mtaanza kumwita "dikteta" "haambiliki" wabongo bwana!Raisi hatakiwi kukubali presha kutoka kwa Mtu yoyote. Anatakiwa kusimama kile anaamini, Kama anakubali kuletewaletewa majina ya mfukoni au presha basi atapata Sana shida.
Pia ajipe muda, sioni haraka ya kuteua
Atasikiliza ushauri lakini si ushauri wa wajinga na wafuasi wa yule belgijiJiwe alijifanya mjuaji changamoto ikapita naye hata mabilioni aliyojikusanyia hakuyala.
Samia ni muungwana na muungwana tabia yake ni kusikiliza ushauri asije akakomaa kama mpapai mbeleya upepo
Kama Kigogo anatokwa na povu mama akipita pembeni ya mawazo yake. Sijui nchi iendeshwe kwa mawazo yake, Kigogo is nothing but someone whose intention ni kujulikana anajua kila kitu.Mkuu, wengi wanasukumwa na chuki!
Utakuta mtu anaropoka tu eti mbona yule hajamtoa wakati aliteuliwa na jiwe! Yani kwa akili zao wanataka Samia ateue kulingana na fikra zao hasa chuki!
Mbona wewe ndio mshezi sasa?Mzee chutama ustiri hata robo ya heshima uliyobakia nayo mbele ya wapuuzi wenzio.
Ulikua mpiga mbeta kwa mambo ya kipuuzi kwa Magufuli usimtake Samia awe kama huyo mwendazake.
Tulia zama zimebadilika huo u magufuli-Samia haupo naona unajilazimisha sana hii nchi sio ya kifalme au kifamilia kwamba Samia karithi hizo elements zenu za kishenzi.
Na bahati nzuri wenye akili wameshampuuza na kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa mjinga zaidi.Kama Kigogo anatokwa na povu mama akipita pembeni ya mawazo yake. Sijui nchi iendeshwe kwa mawazo yake, Kigogo is nothing but someone whose intention ni kujulikana anajua kila kitu.
Mbona bado...JPM ni mstari...wengi hata hamjui kilichotokea...We nae na uyo magufuli wako, tushakuchoka,,
Mnamzushia mstaafu...JK yuko pia kazini kumsaidia kupanga
Hii ndio point...Raisi hatakiwi kukubali presha kutoka kwa Mtu yoyote. Anatakiwa kusimama kile anaamini, Kama anakubali kuletewaletewa majina ya mfukoni au presha basi atapata Sana shida.
Pia ajipe muda, sioni haraka ya kuteua