Mpendwa Mshahara......

Epicor haijui cha krismas wala mwaka mpya, salary ya mwezi huu itatoka januari 3, 2013.
 
Ndugu yangu siku hizi mambo hayatabiriki kabisa,
Ukizikusanya za barafu mwisho wa siku zinakusaidia!

For sure mpendwa hizi biashara ndogondogo huwa zinasaidia sana.... Barafu, karanfa, sambusa n.k... Nami huwa nazikubali sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…