Mpende sana mkeo, la sivyo...

Sasa nakwambia, moyo namuumiza na nikikufuma na wewe nakuumiza sana matako yako. Ntayaumiza kisawasawa hayo makalio kwa ustadi mkubwa.
Make sure unakua na mafuta lainishi wakati unatoa confort kwa wife maana ntakuumiza sana maumbile yako.
Yaani nimecheka sana mkuu umenisababisha niabishe hapa msibani tupo kanisani tunaaga mwili wa mpendwa wetu Aden Adolf MWAMUNYANGE Jamii forum kiboko aisee [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
 
Mkuu uko sahihi
Wanaume wenzangu kunamahari tunakosea Sana
Umeowa unamkeo nyumbani
Hufurah nae ,yaani huna time nae,hata maneno mazuri hakuna
Matunzo ndio kabisaaaa
 
Pole kaka!wape pole wote hapo msibani lakini point yangu ni kwamba haiwezekani ukimuumiza wife kidogo tu aende kugawa tunda huko kwa manyan'gau ambao wenyewe hawajaoa kwa kukimbia majukumu au kuendelea kuwa wahuni basi kazi yao ni kujifanya kutoa shoulder kwa wake za watu maofisini huko....mara linamuuliza......'vip dear....leo unaonekana una mawazo....nikuletee chai...soseji ichanganywe na mayai au utakunywa supu ya kuku wa kienyeji".....
ukiwa umeoa...changamoto za kupitia rough patch sometimes zipo...maisha haya unakuta wakati mwingine maneno yanakutoka mnakasirikiana...lakin baada ya siku kadhaa mamabo yanakwisha na maisha yanarudi mnalea watoto wenu wakue....sasa unakuja wewe unaamua kuniharibia kwa kula wife...nikikufahamu lazima nikuharibu maumbile....no way
 
Ukiendelea hivi soon utapokea malipo yako na tena utabadili kauli. Unajua Biblia inahubiri upendo sio? Sasa lijapo swala la mke tune yake hubadilika, ona hapa:

Methali 6
¯¯¯¯¯¯¯¯
³² Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
³³ Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
³⁴ Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi.
³⁵ Hatakubali ukombozi uwao wote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.
 
Mwanamke anayetafuta faraja ya ndoa NJE YA NDOA huyo hakuwa MKE WA NDOA tangu mwanzo. Ndio maana ni muhimu sana kwa kijana kuchunguza binti utakaye awe mke wako, kuna mke na mwanamke. Sio kila mwanamke ni mke wa ndoa, wengine wamezaliwa kuipamba dunia na kutumika na kila mwanamume. Mke wa ndoa anajua jinsi ya kuipata furaha iliyopotea kwa mumewe, wala haenendi sawa sawa na makahaba ambao ni part time, ukimkwaza kwa hiki anatafuta mwanamume mwingine. Hao wamezaliwa kwa ajili hiyo.

Wanaume, ACHENI KUOA HOUSING kwa sababu ubora wa simu uko KWENYE OPERATING SYSTEM sio housing. Kama mtabisha basi angalieni huu mfano:

Ni nani awezaye kujisifu kwamba amenunua Youtong bus na kwamba anatarajia liweze kuleta faida miaka 20 baadaye? Japokuwa laonekana zuri kwa nje lakini sote twajua limetengenezwa kwa mtindo wa kuchuma faida ndani ya muda mfupi kisha kuondolewa sokoni. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke asiye na maadili ya ndoa. Huyo ametengenezwa atumike kwa kipindi kifupi tu cha usichana wake huku akijiingizia faida. Mwanamke kama huyu hana mtazamo wa muda mrefu, long term, anachotaka ni kukitumia vema kipindi cha usichana wake.

Wako walionunua magari kama benz, leyland, scania nk. Hawa waliweza kuingiza faida hata uzeeni. Mwanamke wa ndoa thamani yake ni kubwa kumpata, lakini ukimpata atakupa faida kidogo kidogo kwa muda mrefu mno. Mtazeeka pamoja.

Sasa mleta mada anajitapa kulala na makahaba waliogeuzwa kuwa wake za watu. Pamoja na hilo ilimpasa kuwaheshimu wanaume waliowaoa. MWANAMUME MPUMBAVU HUJISIFIA KULALA NA WAKE ZA WANAUME WENZAKE. NI MJINGA AMBAYE MAANGAMIZI YAKE HAYAKO MBALI, NA SIKU YA KIAMA CHAKE INAKUJA KAMA MWIVI.
 
Nimekupata mkuu
 
Mkuu umeandika kwa hisia sana inaonekana ushawahi kuumizwa na mkeo akigegedwa na watu wengine
 
Mungu akubariki kwa hilo na kamwe baraka hazitopungua kwako Yesu ukutunze na kukulinda daima wewe pamoja na familia yako brooo nakufurahia japo sikufahamau.
Kabisaa mkuu..familia inafuraha yake aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…