GE2010 Mpendazoe apinga matokeo mahakamani

Nimeona taarifa ya habar leo asubuhi kuhusu huyu mgombea ubunge aliyechezeshwa zengwe na CHAMA CHA MAJUHA (ccem). Sasa nikaanza kutabasamu...

1. Kesi zitaanza kumiminika mahakamani kwa wagombea waliochakachuliwa majimbo. Safi sana, mwisho wa sku tutaongeza majimbo ya upinzani bungeni....CHADEMA OYEEE

2. Wanasheria vijana wapo mtaani, ajira bnafs imepamba moto. Kaz ni kujianzishia kampun ya advocate na kuibana hii serkali dhalimu ya mambumbumbu,mafsadi!

Ifkapo mwaka 2015, kupanuka kwa elimu ya juu na kuongezeka kwa wasomi, CCM IMEJICHMBIA KABURI.
 
safi sana ....kazi imeanza sasa.mwaka huu mahakama zitakuwa busy sana na kesi za uchaguzi
Tatizo ni kwamba katika miaka mitano iliyopita JK amezijaza mahakama na wateule wake bila shaka aki-anticipate kesi hizi kwa sababu uchakachuaji wa kura ulipangwa muda mrefu uliopita. Kesi hizi huenda zikaendelea mpaka karibu na 2015 ambapo tutaambiwa si busara kuendesha chaguzi ndogo kwa sababu uchaguzi mkuu utakuwa umekaribia. Kumbuka kwa mujibu wa sheria zetu hata Mpendazoe akishinda kesi hatapewa ubunge moja kwa moja. Bali ushindi wa Mahanga utabatirishwa na uchaguzi mdogo kuitishwa ili kumpata Mbunge mpya.
 

Kaka busara zako unazipoteza. Maundumula can not understand your point. Few of us can understand you.
 
Anafata nini mahakamani wakati wanasema hata Jaji Makame Amenunuliwa? Usalama wa taifa wamenunuliwa, wanajeshi wamenunuliwa

Hivi hii akili??? unaposema jeshi na usalama wamenunuliwa unataka ukiingia madarakani uajiri wanajeshi/usalama wapya au?

Unaelewa unachoongea lakini? Jaji Makame na mahakama wapi na wapi?
 
A brief note.
As academician we are not required to take wikipedia as a citation as information kept are not trust by all academician and so only considered as a point to build ideas.

I know that but this sheds light to what kind of a school Mr. Mahanga purported to obtain his degree from. The Wikipedia assertions haven't been contradicted by any other source. Thus it is a good place to begin with in casting doubt on Mahanga's degree. I would challenge you to give me a different and reliable source vouching WIU's accreditation status.
 
Dr. Makongoro ni Dr. kweli si wakubabaisha tena kichwa chake ni kikali na ni moja kati nya vichwa vizuri katika nchi hii. Kuhusu elimu hiyo kwa Dr. Makongoro ni kama kumtania tu.
 
Asiyejua maana haambiwi maana....
Bloomberg: Some new Congress people 'can't read'
By: CNN Ticker Producer Alexander Mooney
(CNN) – New York City Mayor Michael Bloomberg offered a colorful critique of some new incoming members of Congress over the weekend, saying during a trip through Hong Kong that many of them "can't read."
"If you look at the U.S., you look at who we're electing to Congress, to the Senate - they can't read. I'll bet you a bunch of these people don't have passports," said Bloomberg, according to the Wall street Journal. "We're about to start a trade war with China if we're not careful here, only because nobody knows where China is. Nobody knows what China is."

Bloomberg, the former Republican-turned-independent three-term mayor of New York City, made the comments to reporters Saturday in Hong Kong after speaking to a conference of business leaders from around the world.
According to Bloomberg, the incoming crop of new Congress members have taken dangerous anti-China stances that threaten to put America's trade relationship with the world's most populated country in jeopardy.
"I think in America we've got to stop blaming the Chinese and blaming everybody else and take a look at ourselves," Bloomberg also said, according to the paper.
Evelyn Erskine, a spokeswoman for Bloomberg did not dispute the comments, saying in a statement to CNN, "Mayor Bloomberg has said for years that bashing China may make for good politics, but it isn't going to improve American schools or put Americans to work."
 

duh wataibebea wapi aibu hii.
 
Unaweza ukaona orodha ya vyuo ambavyo havisajiliwa hii ni kwa mujibu wa taasisi moja huku Marekani ambayo inahusika na kusajili vyuo.
 
Huu ni ushahidi tosha kuonyesha kuwa Makongoro Mahanga hana hiyo digrii anayosema anayo.. Hali kadhalika hii inathibitisha kuwa Mary Nagu naye digrii yake ni ya kughushi.
 

mh usiwaumbue sana jamani me naona aibu sana sana sana ningekuwa mimi ningejitundika i think...
 
wastage of time and effort!

Once a loser will always be a loser

kwa maneno yako haya nadhani wewe ndo loser sasa...mpendazoe sio loser mahakama itaamua..vp mkongoro babaako nn so unaona mpendsazoe akishinda kesi unga wa mshua utamwagika?? au nyie ndo wale mnalamba viatu vya mafisadi??kenge wee (sio yule mnyama ila kenge wa tabia)
 
mmh! yasije yakawa yaleyale,ila alijisemea Dr Slaa sauti ya wengi ni sauti ya mungu hivyo na tusubiri haki haiwezi kupotea hata miaka mingapi
 
Tunachotaka ni accredited Kichwa si accredited chuo. Kichwa kinachosoma kwenye accredited chuo na kazi yake ni kubeba makarai tu kitakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…