Mpendazoe ana chuki binafsi, apuuzwe

Naona nyumbu mnafarakana kwani wewe ni chadema ipi chadema mafisadi au ni chadema masalia au chadema asili?[/QUOTE]
Kaza buti na umri ndio huo unakimbia
 
Kumjadili Mpendazoe na hoja zake juu ya CHADEMA ni kupoteza muda, mamluki yule
 
Mpendazoe yuko sahihi kabisa. anawashangaa Chadema na Mbowe kuendelea kumkumbatia yeye (mp'zoe) licha ya mara zote kuangukia pua kwenye kura za maoni.........huu ni udhaifu MKUBWA kwa Mbowe aachie ngazi bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…