Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,703
MPENDAZOE ANACHUKI BINAFSI APUUZWE
Na. Mhere Mwita
Nimesikitika sana kuona andiko la Tungu Fred Mpendazoe ambalo amelipa kichwa cha MBOWE ANATAKIWA KUJIUDHURU SIO KUCHAGUA KATIBU MKUU WA CHADEMA
Sijasikitika kwa sababu kamtaja Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe bali kilichonisikitisha ni uwezo mdogo aliotumia mkongwe huyu wa siasa kuelezea hisia zake binafsi kumusaidia Nape kufanya kazi yake ya Propaganda.
Mimi sio Msemaji mkuu wa Mwenyekiti wa chadema lakini ni jukumu langu kama ninapoona upotoshaji wowote nautolea ufafanuzi kama ukweli naujua hii sio kwa sababu nionekane mzuri kwa mtu fulani laa hasha.
Mpendazoe Amejalibu kuongelea baadhi ya mambo ambayo yeye anadhani yangemfanya Mwenyekiti Mbowe Ajiudhuru;-
1)-KUHUSU UBUNGE Mpendazoe ameeleza kuwa kukosa ubunge ukanda ambao tulikuwa tunanguvu akatolea mfano Tabora, Mwanza, Shinyanga na Simiyu ndio sababu ambayo imufanye Mwenyekiti kujiudhuru.
Na kwa kutolea ufafanuzi wake anasema kuwa hakuwekeza Nguvu sana huko , Mimi ninaswali hapa hivi ni kwanini tulishinda Mara Seregeti, Tarime Zote na Bunda bila kusahau Ukelewe na Bukoba.
Katika majimbo niliyoyataja yalipewekewa Nguvu na nani kwa hiyo anamaanisha kuwa mbowe aliyaruka majimbo yaliyokaliwa na wasukuma akapeleka Nguvu sehemu ambapo hapana wasukuma.
Hii ni hoja dhaifu sana ninaswali kwake yeye alikuwa ni Mgombea Ubunge jimbo la kishapu na kata ya Sekebugolo kwa hiyo hata kata ilimshinda kuchukua na wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Kishapu 2005.
Anasema Lowasa watu walimkataa na angekuwepo Dr Slaa angeshinda lakini mpendazoe ajatuambia kwa Machanism gani dr slaa angeshinda mpendazoe alikuwa anataka kutuaminisha kuwa Dr slaa alikuwa na nguvu kuliko Lowasa.
Kwa kauli hii ya Mpendazoe inaonyesha hata yeye hakumpigia kura Lowasa alimpigia kura Magufuri vile vile inanipa picha kuwa mpendazoe ahukusahili kupeperusha Bendera ya chadema kishapu maana alikuwa hajipanga badala yake alikuwa anasubir nguvu ya Dr slaa.
Kutokana na kauli yake hii inaonyesha wapiga kura za maoni huwa wanaakili sana mwaka 2010 alishidwa akawa SEGEREA jina lake kamati kuu wakalirudisha na vile vile mwaka 2015 alikuwa mshindi wa pili KISHAPU jina lake likarudi.
Kutokana na maelezo yake haya inaonyesha kuwa wapiga kura wanamjua vyema Mpendazoe lakini chama huwa kinalazimisha tu kumpeleka mtu kama huyu ambae hawezi kuona hata mkoa aliyotaja ilipigaje kura.
Ni Mimi Mhere Mwita
Mwana wa Geita
Ng'wana wa beheld