Mpemba atongoza mwanamke wa kiunguja

Mpemba atongoza mwanamke wa kiunguja

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,069
Reaction score
34,836
kuna mpemba alikuja unguja kutembea sasa akakutana hallat mzuri wa kiunguja mmpemba kadata ikabidi atongoze >mpemba ntoto wyee

wallah wanimaliza urefu kama nkarafuu mashaallah .mashaallah mashavuyoo yan' gara km papai bivu > fua lintuna km nazi koroma ayoo


maguuyo yanjaza km ndizi ya nkono wa tembo > hee nfikirie mwenzio naumia miyeee !!!! unaambiwa wacha achezee tuc kwa dem wa

kiunguja mie mitini hapo................................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom