‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

Udikt...teta haupogo...... Men Tality.....Dictionarial Men....Tality....Room.
 
Mbona huyu ZCO wa hii kanda yetu pendwa hadi leo hatumbuliwi elihali inasemekana nae alikua akiwakingia kifua drug dealer enzi ile akiwa bosi pale obey????
 
Gazeti la mwanahalisi la Leo limeandika habari za kiuchunguzi zikisema kuwa DCI ametumbuliwa kutokana na kushindwa kushugulikia kikamilifu mtandao wa ujangili baada ya kugundua kinara wake ni kiongozi mkubwa wa CCM na mwenye ukaribu sana na Rais Magufuli.

Sasa najiuliza kama ni yuleyule wa mv au ni mwingine. Mwenye fununu atujuze
 
Akiba ya maneno ni muhimu sana , wakati wewe unaendelea kupuyanga mwenzio kaula ! tena aliyemfanya aule ndio yule yule uliyekuwa unamsifia .
Poor you !
 
Leo anasifiwa yeye ni TISS , kesho utasikia mengine
 
.....
.....hahahaha code linked
 
Akiba ya maneno ni muhimu sana , wakati wewe unaendelea kupuyanga mwenzio kaula ! tena aliyemfanya aule ndio yule yule uliyekuwa unamsifia .
Poor you !
dah
long live jf,kweli akiba ya maneno ni muhimu sana,,nimejifunza kitu hapa............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…