Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,984 Reaction score 30,178 Nov 3, 2016 #81 Mi nadhani "Mpemba" ni lugha ya picha tu, Wapemba wamekaa weupe weupe hivi, wenye asili na muonekano kama wa kiarabu. Sasa tukianzia hapo tunaweza kupata jibu
Mi nadhani "Mpemba" ni lugha ya picha tu, Wapemba wamekaa weupe weupe hivi, wenye asili na muonekano kama wa kiarabu. Sasa tukianzia hapo tunaweza kupata jibu
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,485 Reaction score 27,620 Nov 3, 2016 #82 hawa usalama mnaosema wako fiti kila siku wako wapi? si wawaondoe hawa mapapa kimya kimya maana hadi wenye dhamana wana sanda sisi tufanyaje
hawa usalama mnaosema wako fiti kila siku wako wapi? si wawaondoe hawa mapapa kimya kimya maana hadi wenye dhamana wana sanda sisi tufanyaje
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,592 Reaction score 29,504 Nov 3, 2016 #83 Zanzibar-ASP said: Alisema ni mpemba lakini mimi nikahisi huenda alikuwa anamaanisha msomali. Click to expand... Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa ni naniiiiliuuu anaestaafu mwakani![emoji86]
Zanzibar-ASP said: Alisema ni mpemba lakini mimi nikahisi huenda alikuwa anamaanisha msomali. Click to expand... Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa ni naniiiiliuuu anaestaafu mwakani![emoji86]