Bora hata umeongea ndugu, sometime lijitu hulijui nawala hajui unatumia kinywaji gani unashangaa vinaletwa tu bila hata idhini yako.
Ebu ngoja wadau waje watuambie ni kwann?
Bwana mkubwa Kongosho, hii inaonyesha ni jinsi gani wanaume wa Tanzania walivyo wakarimu. Naomba pia uwaombe wadada nao wawe na ukarimu unaofanana huu wa kutoa bila kusubiri kuombwaNashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.
Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.
Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?
Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.
Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
Yaani
Na hivi nimehamia Tandale kwa Tumbo, wajiandae kuoshwa na maneno ya utumbo.
Inakera sana!
Sababu....moja muonekano wako na jinsi unavyowaangalia wanaume kama macho pye pye,uvaaji wako kama unatangaza bidhaa lazima watahisi umekuja kutafuta,maeneo menyewe wanaamini anayekuwepo pale atakuwa anaonja.
Sasa bar umefuata nini kama wewe hunywi bia?bar hawauzi chai.bia ni gea tuu ya kukuingia ili utongozwe ukiikubali kitakachofuata unajua mwenyewe!ni sawa na unapotoa rushwa unasema chukua soda hiyo huku unatoa pesa
ha ha haaaa, lol! ngoja nicheke kwanza. Kongosho, mimi nimejifunza kumwambia waiter pelekea yule kinywaji anachokunywa...Bora hata umeongea ndugu, sometime lijitu hulijui nawala hajui unatumia kinywaji gani unashangaa vinaletwa tu bila hata idhini yako.
Ebu ngoja wadau waje watuambie ni kwann?
Nashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.
Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.
Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?
Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.
Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
ha ha haaaa, lol! ngoja nicheke kwanza. Kongosho, mimi nimejifunza kumwambia waiter pelekea yule kinywaji anachokunywa...
Obvious huwezi mwagizia mtu kinywaji cha kwanza, lazima atakuwa anakunywa then namwongezea.
Kuna siku tulienda sehemu tukakuta familia ipo, mume, mke, watoto.......
baba anakunywa bia, mama na watoto wanakunywa soda......
tukamwambia waiter awapelekee kinywaji.....
cha ajabu walibadilisha vinywaji, sijui ndo kukomoa au vipi.....
mama na watoto wakahamia kwenye bavaria........ nikajishangalia tu watoto WANAONJESHWA bavaria sababu ya offer, lol!
Bwana mkubwa Kongosho, hii inaonyesha ni jinsi gani wanaume wa Tanzania walivyo wakarimu. Naomba pia uwaombe wadada nao wawe na ukarimu unaofanana huu wa kutoa bila kusubiri kuombwa
Hahahahahaha!