Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Wandugu, Habari,
Nina mpango wa kununua Receiver ya MPEG 4 HD hapa Dar Sasa nahitaji kujua yafuatayo:
1. Ni aina gani ni nzuri kwa ubora?
2. Bei yake ni sh. ngapi?
3. Naweza kupata wapi?
Mungu awabariki wote...
tafuta 1wapo ya hizi OPENBOX S10 au Strong Srt 4930. Nafikiri unaweza kupata hapa dar kama utatafuta bila kuchoka. Niliwacliana na jamaa hawa [yojiatech.com] watengenezaji wa openbox, wanauza usd80 pa1 na usafiri kwa njia ya posta usd120 Ems na usd100 kwa HDL. ila mi naipenda sn openbox.
Kama unataka strong nenda kariakoo mtaa wa livingstone kuna duka moja nimesau kidogo jina lake, hao jamaa pia ni mawakala wa zuku wana hd za strong bei ni kuanzia 380000 na kuendelea na wiztech bei 250000 na kuendelea jaribu hapa.
Mfumo wa FTA kupitia madish hautakwisha utakuwepo ila hautapatikana kwa CBand kama zamani ila kwa digital LNB au ku band.Hivi kwanza, hizi receiver inaoonekana ni bora zaidi, ikiwa december tutaingia kwenye mfumo wa digital, itakuwaje sasa?!
Maana sina hakika kama zinapokea smart cards za haya makampuni yetu yanayotuuzia ving'amuzi hapa nyumbani.
Mfumo wa FTA kupitia madish hautakwisha utakuwepo ila hautapatikana kwa CBand kama zamani ila kwa digital LNB au ku band.
Kitakachofanyika ni kubadilisha tu mfumo wa analogue kwenda digital. Sasa kwa wale watakaokuwa wanatumia zile LNB za cband hao hawataweza kupata kitu lakini watakaokuwa wanatumia kuband watatesa kama kawaida.
Mbona hata sasa tunaona Tv stations za digital kwa madish yetu? Kama unaona zile channel za Kenya au zile za Nigeria kama TBJoshua au zile za film ujue zile ni digital!
kuna aina kuu mbili za madish namely prime focus (ya duara) na offset/parabolic dishes (ya mfano wa yai) aidha kuna lnb 3 hivi namely cband, ku band na ka band. Kuhusu ipi ni digital na ipi sio hapa ndiyo mada yangu. Lnbs zote ni digital, kwa hiyo zina uwezo wa kupokea mawimbi ya analogue. Ukweli ni kwamba kuna tvs anuai zinapatikana kupitia cband na bado ni digital(nenda google andika "is10 lyngsat") ukifungua page kila tv channel itakuwa na rangi tofauti kuonyesha ipi ni digital na ipi analogue. Hi startimes ni digital inapatikana kwenye sat W2A ku2mia cband lnb na kupitishwa kwenye mfumo wa terrestrial(minara km ya cm) ili kuwawezesha wenye terrestrial decoda kupokea mawimbi.kuhusu receivers niseme kuwa zote ni digital kwa ss ndio maana zimeandikwa DVB(Digital video broadcasting ) kwa vile ni digital zina pia uwezo wa kufungua analogue.ziko za DVB-S mpeg2, DVB-S2 mpeg4 sd/hd. Wa2 wengi wana mpeg2 mf.mediacom 930/910 ambazo huwezi kupata uhuru wa kufurahia ulimwengu wa fta tvs
kuna aina kuu mbili za madish namely prime focus (ya duara) na offset/parabolic dishes (ya mfano wa yai) aidha kuna lnb 3 hivi namely cband, ku band na ka band. Kuhusu ipi ni digital na ipi sio hapa ndiyo mada yangu. Lnbs zote ni digital, kwa hiyo zina uwezo wa kupokea mawimbi ya analogue. Ukweli ni kwamba kuna tvs anuai zinapatikana kupitia cband na bado ni digital(nenda google andika "is10 lyngsat") ukifungua page kila tv channel itakuwa na rangi tofauti kuonyesha ipi ni digital na ipi analogue. Hi startimes ni digital inapatikana kwenye sat W2A ku2mia cband lnb na kupitishwa kwenye mfumo wa terrestrial(minara km ya cm) ili kuwawezesha wenye terrestrial decoda kupokea mawimbi.kuhusu receivers niseme kuwa zote ni digital kwa ss ndio maana zimeandikwa DVB(Digital video broadcasting ) kwa vile ni digital zina pia uwezo wa kufungua analogue.ziko za DVB-S mpeg2, DVB-S2 mpeg4 sd/hd. Wa2 wengi wana mpeg2 mf.mediacom 930/910 ambazo huwezi kupata uhuru wa kufurahia ulimwengu wa fta tvs
tafuta 1wapo ya hizi OPENBOX S10 au Strong Srt 4930. Nafikiri unaweza kupata hapa dar kama utatafuta bila kuchoka. Niliwacliana na jamaa hawa [yojiatech.com] watengenezaji wa openbox, wanauza usd80 pa1 na usafiri kwa njia ya posta usd120 Ems na usd100 kwa HDL. ila mi naipenda sn openbox.
Vipi kuhusu Strong SRT 4622X?
Sasa naona umegusa ninapopataka mkuu.
So inawezekana mtu akawabypass startimes kwa kutumia madish haya ya kawaida kupata fta channels wanazoonesha?
Umenena mkuu.have hapy sunday.
Sorry guys napata tabu sana kupata Chnl ten hata kama naingiza freq 3.906v2.895. Msaada tafadhali inawezekana kile kijibao ndani kimekaa ndivyo sivyo?
Ubarikiwe mkuu wangu
Nimeona hizi receiver zinaitwa HUMAX IR 2000HA na nyingine ni WIZ 8020 HD PVR
Je nzuri kati ya hizi mbili ni ipi? zoteni bei moja 280,000/=