Mpeg 4 Digital HD receiver! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpeg 4 Digital HD receiver!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kaa la Moto, Apr 27, 2012.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wandugu, Habari,
  Nina mpango wa kununua Receiver ya MPEG 4 HD hapa Dar Sasa nahitaji kujua yafuatayo:

  1. Ni aina gani ni nzuri kwa ubora?

  2. Bei yake ni sh. ngapi?

  3. Naweza kupata wapi?

  Mungu awabariki wote...
   
 2. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  tafuta 1wapo ya hizi OPENBOX S10 au Strong Srt 4930. Nafikiri unaweza kupata hapa dar kama utatafuta bila kuchoka. Niliwacliana na jamaa hawa [yojiatech.com] watengenezaji wa openbox, wanauza usd80 pa1 na usafiri kwa njia ya posta usd120 Ems na usd100 kwa HDL. ila mi naipenda sn openbox.
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ulikuwa unaagiza wapi kaka? inaonekana bei iko juu sana maana hapo hujalipa na kodi!
   
 4. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama unataka strong nenda kariakoo mtaa wa livingstone kuna duka moja nimesau kidogo jina lake, hao jamaa pia ni mawakala wa zuku wana hd za strong bei ni kuanzia 380000 na kuendelea na wiztech bei 250000 na kuendelea jaribu hapa.
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Asante kaka. Je kuna na sehemu nyingine? ili nilinganishe bei unajua mjini kabla hujanunua inabidi kutembea na kutembea hadi upate kitu unataka na kwa bei nzuri. Asante sana na Mungu akubariki
   
 6. The Genius

  The Genius Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanza, hizi receiver inaoonekana ni bora zaidi, ikiwa december tutaingia kwenye mfumo wa digital, itakuwaje sasa?!

  Maana sina hakika kama zinapokea smart cards za haya makampuni yetu yanayotuuzia ving'amuzi hapa nyumbani.
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mfumo wa FTA kupitia madish hautakwisha utakuwepo ila hautapatikana kwa CBand kama zamani ila kwa digital LNB au ku band.
  Kitakachofanyika ni kubadilisha tu mfumo wa analogue kwenda digital. Sasa kwa wale watakaokuwa wanatumia zile LNB za cband hao hawataweza kupata kitu lakini watakaokuwa wanatumia kuband watatesa kama kawaida.
  Mbona hata sasa tunaona Tv stations za digital kwa madish yetu? Kama unaona zile channel za Kenya au zile za Nigeria kama TBJoshua au zile za film ujue zile ni digital!
   
 8. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kuna aina kuu mbili za madish namely prime focus (ya duara) na offset/parabolic dishes (ya mfano wa yai) aidha kuna lnb 3 hivi namely cband, ku band na ka band. Kuhusu ipi ni digital na ipi sio hapa ndiyo mada yangu. Lnbs zote ni digital, kwa hiyo zina uwezo wa kupokea mawimbi ya analogue. Ukweli ni kwamba kuna tvs anuai zinapatikana kupitia cband na bado ni digital(nenda google andika "is10 lyngsat") ukifungua page kila tv channel itakuwa na rangi tofauti kuonyesha ipi ni digital na ipi analogue. Hi startimes ni digital inapatikana kwenye sat W2A ku2mia cband lnb na kupitishwa kwenye mfumo wa terrestrial(minara km ya cm) ili kuwawezesha wenye terrestrial decoda kupokea mawimbi.kuhusu receivers niseme kuwa zote ni digital kwa ss ndio maana zimeandikwa DVB(Digital video broadcasting ) kwa vile ni digital zina pia uwezo wa kufungua analogue.ziko za DVB-S mpeg2, DVB-S2 mpeg4 sd/hd. Wa2 wengi wana mpeg2 mf.mediacom 930/910 ambazo huwezi kupata uhuru wa kufurahia ulimwengu wa fta tvs
   
 9. The Genius

  The Genius Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa naona umegusa ninapopataka mkuu.

  So inawezekana mtu akawabypass startimes kwa kutumia madish haya ya kawaida kupata fta channels wanazoonesha?
   
 10. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenena mkuu.have hapy sunday.
   
 11. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi kuhusu Strong SRT 4622X?
   
 12. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  strong srt 4622x ni dvbs2 mpeg2, achana nayo km unataka kuinunua
   
 13. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ukiposition dish lako la ft6 kwenye degree 10 east utapata startimes ambayo channels zake ziko encrypted(zimefungwa hazioneshi picha)ss cjui km kutakuwa na sat decoder zao pia zenye smartcards za kuzifungua.
   
 14. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  asante.nawe pia.
   
 15. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sorry guys napata tabu sana kupata Chnl ten hata kama naingiza freq 3.906v2.895. Msaada tafadhali inawezekana kile kijibao ndani kimekaa ndivyo sivyo?
   
 16. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kama chnl zingine zinaonyesha kijibao kimekaa vzr, labda badili V kuwa H au zungusha lnb yako.
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ubarikiwe mkuu wangu
   
 18. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  umefanikiwa? Furaha yangu. Asubuhi njema
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nimeona hizi receiver zinaitwa HUMAX IR 2000HA na nyingine ni WIZ 8020 HD PVR
  Je nzuri kati ya hizi mbili ni ipi? zoteni bei moja 280,000/=
   
 20. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  humax ir 2000 hd hi kali nikipata nafac ntakushushia kila ki2 chake hapa.
   
Loading...