Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,227
- 18,390
Nani kakwambia hiyo ni nyumba ya kuishi?hiyo ni ofisi mazee! Nyumba yake ya kuishi ni hiyo hapo juu!mkuu yeye anajua kupaka sio kujenga sasa kwa nyumba yake ilivyo hajui maana ya kujenga zaidi ya kupaka tu ndo maana nyumba yake ni imara.