Mpe neno huyu mpiganaji....

Mpe neno huyu mpiganaji....

hapo sio siasa mkuu,kawaida jembe si huwa linaingiziwa mpini,sasa kama yeye ni jembe,mi nina mpini wake,ntamuingizia.

ila mkuu hizi kauli za waswahili huwa zina maana yake tena kubwa tu!

nowadays watu kuitwa majembe wanakataa kabisa!
eti ni bora umuite mtu katapila ama trector kuliko jembe!
 
Back
Top Bottom