Mpasuko wanukia CHADEMA

Hao chadema bado hawajapasuka tu, wenzao zanzibar walishapasuka siku nyingi.
 
Hujalazimishwa kuchangia post zangu,kama unaiona ni mwiba kwako ipotezee

Mwiba upi sasa, haya mapicha ya fisi ya photoshop badala ya kujibu hoja? anayefuatilia majadiliano baina yetu atafahamu kile kitu unachokiita 'uezo' kama kweli unacho. Mimi siwezi kuacha upotoshe watu na pia ujiabishe kwa porojo, nitakuuliza kile ulichoandika ili uoneshe 'uezo' wa kile unachokijua. Mara nyingi unakimbilia kuonesha utofauti wa itikadi kama nia yako ya kukimbia hoja. Hata kama kweli umetofautiana na mtu itikadindio uwezo wako wa kujibu hoja unakwisha? Watu kama ninyi ndio mnaoaibisha chama mpaka wengine wote wanaonekana wanywa viroba. Jiimarishe ghorofani,ukitoa hoja za maana utaitetea itikadi yako na sio kukimbilia vipicha vya kindergarten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…