Siku hizi kajificha kabisa hajionyeshi onyeshi. Hata sins hakika kama hata Zanzibar kumtawadha mtu wao kama alienda.Hivi mmiliki wa meli iliyokamatwa na meno ya tembo kule ughaibuni alisha enda kumaliza kesi yake?
Kwahiyo CCM inajificha nyuma ya CHADEMA?Sasa tofauti ya CDM na CCM iwapi, ilhal kila jambo kioo chenu ni wao? Ama kweli Ali Hassan Mwinyi hakukosea pale aliposema CDM ni CCM B
Ungesoma mtiririko wa majibizano, ungedua uyaelezayo ni kinyume, mathalani wewe uliondoka CCM kumfuata Lowasa CDM.....yumkini unaambukiza mawazo ya kiccm CDM.....Kwahiyo CCM inajificha nyuma ya CHADEMA?
Chadema chama kisichoaminika watapinga hii hadi mwisho kama walivyokapinga ujio wa lowasa kumbe mbowe alishajipigia dili kitambo...!!
Kweli hakuaminiki ila nashangaa sasa wamepata ridhaa ya wana jiji.... Think rationally...Chadema chama kisichoaminika watapinga hii hadi mwisho kama walivyokapinga ujio wa lowasa kumbe mbowe alishajipigia dili kitambo...!!
U think madiwani wa upinzani wangempigia kura mtu wa CCM?Kweli hakuaminiki ila nashangaa sasa wamepata ridhaa ya wana jiji.... Think rationally...
Kwahiyo wewe unaamini kuwa CCM bado ina mawazo "makini" mpaka kufikia CHADEMA kuwaiga?Ungesoma mtiririko wa majibizano, ungedua uyaelezayo ni kinyume, mathalani wewe uliondoka CCM kumfuata Lowasa CDM.....yumkini unaambukiza mawazo ya kiccm CDM.....
Kumbe hao wadiwani walitoka wapi Kama sio wananchi waliwachagua??U think madiwani wa upinzani wangempigia kura mtu wa CCM?
Shida mnaiga upuuzi wao.....no transparencyKwahiyo wewe unaamini kuwa CCM bado ina mawazo "makini" mpaka kufikia CHADEMA kuwaiga?
Muulize Mbatia na NCCR au Lipumba na CUF (Bara) utapata jibu kulikoni CHADEMA.
Nipaniki kwa lipi domokaya? usijitoe sana ufahamNdugu kwa nini unapaniki kiasi hiki? Toa hoja taratibu namna na zenye mantiki hii unaharibu taswira
Hujalazimishwa kuchangia post zangu,kama unaiona ni mwiba kwako ipotezeeNchi hii bwana, watu wanaojifanya wana demokrasia hata uwezo wa kusikiliza hoja ya mtu na kuijibu hawana, ukimpa hoja anakimbilia katika vijitu vidogo vidogo kukimbia hoja ama kujificha uwezo wake kwa kutukana. Hoja inajibiwa kwa hoja na si kuitana majina ya kufikirika wala kutukanan na pia hata katika chama kimoja cha siasa watu wana ufikiri tofauti majadiliano lazima yafanyike. Muafaka haufikiwi kwa kumtukana wala kumkashifu mtu bali kutoa hoja yenye nguvu. Kama mtu anayejiona yeye anaelewa yuko namna hii basi sisi tusiolewa tuko taabani.Utupu wa kichwa una dhalilisha kuliko utupu wa mwili.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh nyie watu jamani mna maneno,kajificha!!!!!,ila nasikia jana alikuwepo kumuwakilisha mkuu wa nchi asilia yake kule kwenye mabomuSiku hizi kajificha kabisa hajionyeshi onyeshi. Hata sins hakika kama hata Zanzibar kumtawadha mtu wao kama alienda.
Kuna mtu kaniambia toka Maghembe apewe Maliasili kanywea maana wakati wa Mkwere alikuwa anamtangaza kuwa ni mzigo na jamaa Profesa kasema watakutana porini ama zake ama za profesa. Kanywea kabisa Dentist
Kwahiyo wewe uliyefukuzwa toka cdm ukaenda ccm na act huko unaeneza mawazo ya cdm?Ungesoma mtiririko wa majibizano, ungedua uyaelezayo ni kinyume, mathalani wewe uliondoka CCM kumfuata Lowasa CDM.....yumkini unaambukiza mawazo ya kiccm CDM.....
Asante sana mkuu kwa kutoa ufafanuzi ulioshiba kwa nondo za mm30Sasa kama aliweza hilo kubwa nawe ukaamini ni kweli lilikua dili la Mbowe sembuse Mpendazoe ambae ukimshtukiza ghafla hata jina chadema hawezi litamka? Mpendazoe alishakosa kote bara na pwani ili iweje hata mpasuko ukiwepo faida yake kwake ni ipi?Kuwa atapewa uenyekiti chadema?Walishindwa manguli wa siasa kina Slaa na wenzie wengine. Yaani chadema ni imara kama chuma cha pua.
Ccm wameishiwa pumzi...by mzee kingunge ngombale mwiruKwahiyo wewe unaamini kuwa CCM bado ina mawazo "makini" mpaka kufikia CHADEMA kuwaiga?