Mpasuko Tume ya Taifa ya Uchaguzi vs Wakurugenzi

Mpasuko Tume ya Taifa ya Uchaguzi vs Wakurugenzi

Kura haziibiwi mwaka huu
Yangu macho..chama cha rangi ya majani wazee wa goli la mkono lazima wafanye yao

attachment.php
 
tulieni kwanza, mbona mnaleta kelele na habari zisizo na uhakika.
 
Jaji Lubuva et. all mkifanya maamuzi wa kwa maelezo toka juu mtaangamiza taifa. Naikumbuka Kenya kwa mbali ...... Kwenye Bunge la Katiba walikuwa wanasisitiza kura ya wazi, basi na uchaguzi mkuu wasisitize matokeo ya wazi.
 
Imefika wakati viongozi wakubali kushindwa na kwamba mabadiliko hayazuiliki
 
Ndivyo ilivyofanywa ara mwjaa 2010,sasa mnabishana nin hapo?mwaka 2010 zilitangazwa vituoni,na kwenye majimbo.

Sio pote. Kuna kituo kimoja Mwanza wananchi walifika kituoni na petrol tayari kukichoma moto ndipo Wenje akatangazwa. Mwaka huu UKAWA wataadapt njia hiyo kama itabidi
 
Wanajamvi hivi sasa hali katika tume ya taifa ya uchaguzi si shwari kwa upende mmoja na nishwari kwa upande mwingine, ifahamike katika uchaguzi tume ya taifa hujumuisha pia maafisa wa serikali kama vile wakurugenzi wa halmashauri, nk.

Sasa kilichotokea katika tume hiyo limeibuka kundi ndani ya tume hiyo wakiwemo maafisa wa juu wa tume na wengi wa wakurugenzi ambao wasimamizi wa chaguzi ngazi ya wilaya wakidai na kusisitiza safari hii hakuna kupokea maelekezo yoyote kutoka kwa mwanasiasa.

Kundi hilo linataka kwamba kura zikishahesabiwa na matokeo kujulikana, basi mshindi atangazwe mara moja. Ila kuna baadhi ya maofisa ndani ya tume wanapinga sana wazo hilo jema.

Tusubiri tuone.

Kitengo kazini,na hapo ndio kuna goli la mkono,hayo maelekezo hayo,ndio yatakayoleta mabalaaa
 
Wanajamvi hivi sasa hali katika tume ya taifa ya uchaguzi si shwari kwa upende mmoja na nishwari kwa upande mwingine, ifahamike katika uchaguzi tume ya taifa hujumuisha pia maafisa wa serikali kama vile wakurugenzi wa halmashauri, nk.

Sasa kilichotokea katika tume hiyo limeibuka kundi ndani ya tume hiyo wakiwemo maafisa wa juu wa tume na wengi wa wakurugenzi ambao wasimamizi wa chaguzi ngazi ya wilaya wakidai na kusisitiza safari hii hakuna kupokea maelekezo yoyote kutoka kwa mwanasiasa.

Kundi hilo linataka kwamba kura zikishahesabiwa na matokeo kujulikana, basi mshindi atangazwe mara moja. Ila kuna baadhi ya maofisa ndani ya tume wanapinga sana wazo hilo jema.

Tusubiri tuone.

patachimbika wasipotangazaaaa
 
Mbona mwaka 2010 matokeo yalitangazwa vituoni,au kuna utangazaji mpya wa matokeo vituoni ambao hatuujui?

Mwaka 2010 matokeo yalijumlishwa na wananchi wenyewe kwa kuhesabu matokeo ya vituo vyote jimboni hata kabla ya matokeo kutangazwa na NEC lakini wapinzani wakalalamika kuwa walipigwa bao la mkono(kuchakachuliwa)!
 
Back
Top Bottom