Wanajamvi hivi sasa hali katika tume ya taifa ya uchaguzi si shwari kwa upende mmoja na nishwari kwa upande mwingine, ifahamike katika uchaguzi tume ya taifa hujumuisha pia maafisa wa serikali kama vile wakurugenzi wa halmashauri, nk.
Sasa kilichotokea katika tume hiyo limeibuka kundi ndani ya tume hiyo wakiwemo maafisa wa juu wa tume na wengi wa wakurugenzi ambao wasimamizi wa chaguzi ngazi ya wilaya wakidai na kusisitiza safari hii hakuna kupokea maelekezo yoyote kutoka kwa mwanasiasa.
Kundi hilo linataka kwamba kura zikishahesabiwa na matokeo kujulikana, basi mshindi atangazwe mara moja. Ila kuna baadhi ya maofisa ndani ya tume wanapinga sana wazo hilo jema.
Tusubiri tuone.
ccm imeua watanzania kwa kuwafanya mafukara wa kutupwa na kuwanyima huduma muhimu za kijamii kwa miaka mingi,mwaka huo itadhihirisha ilichokuwa inakifanya kwa mgongo wa nyuma kwa kujitokeza hadharani kuwaua watanzania kwa risasiANGALIZO:
NEC wasipokua na busara wataingiza hii nchi kwenye machafuko makubwa....
NEC wakikosa weledi kwenye nafasi zao ...tujiandae kisaikolojia na yatakayotokea... na wao ndo watabeba damu ya kila mwananchi itakayo mwagwa.
hii sio miaka ya kuiba kura tena...watu wameelimika.
ANGALIZO:
NEC wasipokua na busara wataingiza hii nchi kwenye machafuko makubwa....
NEC wakikosa weledi kwenye nafasi zao ...tujiandae kisaikolojia na yatakayotokea... na wao ndo watabeba damu ya kila mwananchi itakayo mwagwa.
hii sio miaka ya kuiba kura tena...watu wameelimika.
kwani wao hawapendi kuishi?Vimama vijikurugenzi ndiyo vinapenda ujinga kalipa fadhira za mchepuko wao jk!
ccm Amani ya nchi si Kipaumbele chetu,kwetu madaraka kwanza mambo mengine baadae.hatuwezi kutoa nchi kwa makaratasi bila damu kumwagikaUtungu wa mpango wa bao la mkono kupitia tume inawezekana ulianza alipobadilishwa mkurugenzi wa tume ghafla katika kipindi cha miezi mitatu kabla ya uchaguzi. Ni muhimu kwa usalama wa nchi kukubaliana na pendekezo la kutangaza matokeo kama yatakavyokuwa katika kila ngazi bila kuchelewesha. Mwaka huu wakifanya yale ya miaka ya nyuma ya kusubiri shinikizo la umma,kuna uwezekano mkubwa wa kuvuruga amani ya nchi. Nami nawashauri wakurugezi kusimamia ukweli,kwani utwasaidia kuliko kuchukua upande.
Ndivyo ilivyofanywa ara mwjaa 2010,sasa mnabishana nin hapo?mwaka 2010 zilitangazwa vituoni,na kwenye majimbo.