danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
Ni kweli aisee!Kama slaa kashindwa kusababisha mpasuko nani mwingine tena ataweza?
Acha urongo wewe....unafahamu mizizi ya CHADEMA?..sikiliza we gamba,ata akiondoka mbowe,acha ao vifaranga,kura zetu kwa lowasa!
mizizi ya Chadema iko kwa Yesu.Acha urongo wewe....unafahamu mizizi ya CHADEMA?..
Mind you that there is life after general election ,unafikiri kutakua na harufu gani upande wa UKAWA once CCM wakinyakua ushindi?hivi kuna mpasuko.?? naona kama huyu slaa hana mvuto wowote wala hajatikisa ndo kwanzaaa ametutia mori wa kulala vituoni kusubiri kuwapa ukawa kura
Mimi leo nlikuepo kwenye mkutano wa lowassa jimboni kwangu kibamba, mafuriko na hamasa nliyoiona pale sikuamini macho yangu...hakika watu wameichoka ccm, na sidhan kama kuna wa kuzuia wimbi hili la mabadiliko, sio dr cassava wala lipumba
Watu wenye busara hukaa na kujiuliza, kwann imetokea, hapa mnapiga kelele hakuna tatizo lkn hamjui watu wanaomwamini dok ni wangapi, na mjue hawapigi kelele mtandaoni km nyinyi kujipa matumaini kuwa no problem with his exit
Baada ya Dr. Slaa kuleta sintofahamu kubwa kwenye UkIwa/Chadema na fisadi wao papa Lowassa, sasa katika kipindi cha wiki mbili kutatokea 'exodus' kubwa kama ile aliyoimba hayati Bob Marley.
Wanaotajwa kusumbuliwa sana na nafsi zao kama Dr. Slaa ni John Mnyika pamoja na Mabere Marando. UKAWA walisubirie hili pigo kubwa ambalo liko njiani.
Dr Slaa ameleta mpasuko gan? Mbona tumeshamsahau na filamu yake?
mizizi ya Chadema iko kwa Yesu.