Mpasuko Chadema

Hizo ni challenge ndogondogo ktk uongozi na wala sio hatari hata kidogo...for Gold to be Gold then it must pass through furnace,hizo challenge zitatufanya tuwe strong zaidi na zaidi.

Katika watu wote waliojibu hii post, nakuvulia kofia kwa kuchukuwa critisism kuifanya ni progressive badala ya kubishana hovyo. Naomba kagombee nafasi za uongozi Chadema, utaifaa nchi.
 

System at work huh
 
zomba waliokutuma wamekosea sana kwanini wasitumie watu wenye akili timamu katika kufanikisha azima yao.kwa upeo wako na wewe unaamini ipo siku utaiyumbisha CHADEMA? zomba bahati mbaya hujui unachokifanya tafuta namna ya kuinusuru CCM. chadema inawsaosomi tuu na sii mazoba kama wewe.
 

Wewe Zomba,
Hiyo habari ya maiti mbona familia ya marehemu(Baba mzazi na msemaji wa familia) wamekanusha yale yote yaliyoandikwa na habari Leo
Nye mnatoa wapi habari?
Chadema hakuna mpasuko, ila mpasuko uko kwenye ubongo wako na walio kutuma.. System at work
 
Indeed it is.

.....................Paid to defend your hegemonic party within pluralistic system........

...........antithetical to democracy


.....Utachoka mwisho wa siku, tumeshakichoka ki-CCM chako..............


waambie na hao wanaokulipa pia...tumewachoka na HADANGANYIKI MTU....Nyie bwabwajeni tu kama mnavuja....
 
Now I believe that Zomba is Malaria Sugu in another form.
 

Labda umesoma gazeti la Uhuru/Mtanzania/Habari Leo ndiyo ukafikia conclusion siwezi kukulaumu.
 

Mwaka huu mtajinyea, na bado!
 
Mr Zomba sasa unaelekea kuwa zombie yaani msukule.Maelezo yako ki ukweli hayana mashiko.But usikate tamaa, keep on trying sir.
 

Hao wasomi na wewe pia ukishirikiana nao, yachukulieni hayo kuwa ni changamoto na myafanyie kazi. Usitake kubisha vitu vya ukweli na vipo.
 

Aisee unaboa sana kila siku unaandika uozo na upupu;;Sijui unafananaje ila nadhani akili yako ni kama TOILET PAPER ILIYOTUMIKA
 

Utaona kuhusu maiti sikuongelea unachokisema, nimesaema, viongozi wengi hawakuhudhuri na nikakutajia hata jina la mmoja ambae ni kiongozi muhimu Chadema Arusha na nikakuonesha na sababu zake za kutokuhudhuria, jee zinakuingia akilini?
 

Zomba; Kama hayo ulosema ni kweli then- CHADEMA kuna demakrasia ya hali ya Juu sana kuliko chama chochote hapa Afrika. KUTHIBITISHA HAYA, NAKUPA MIFANO MICHACHE HIVI:- MALECELA ALIPOKUWA WAZIRI MKUU ALIZIDIWA HOJA KUHUSU SUALA LA MUUNGANO KILICHOTOKEA AKATENGWA NA CCM NA KUBAKI BEMBELEZA MAMA UPATE MKATE; KOLIMBA ALIPOSEMA CCM IMEKOSA MUELEKEO KILICHOMKUTA MIMI NA WEWE TUNAJUA; Dr. SALIM ALIPOJARIBU KUGOMBEA URAIS UNAJUA NINI KILIMKUTA; Sita aliposimamia bunge kama taasisi na si chama yalompata ninaamini anajuta hadi sasa; Mangula alipojaribu kumoinga JK asigombee urais mwaka 2005 alikutwa na dhahma hadi ya kunyimwa ujumbe wa nyumba kumi. Mashishanga alipomuunga mkono Sumaye kugombea urais yalomkuta Mungu na wewe mnajua.
BWANA ZOBA NI NIKIORODHESHA MIFANO HATA ROBO TU YA MADUDU YALIYOPO KWENYE VYAMA VYA SIASA NJE YA CHADEMA SERVER YA JF ITA-JAM JAMBO AMBALO SITAKI LITOKEE MAANA TUNAHITAJI KUENDELEA KUTOA MAWAZO YETU HUMU..................
Sasa eleza kipi chama bora Kile kinachotoa uhuru kwa wanachama wake kueleza hisia zao au kinachoenda kiimla kama CCM?
 
Kama Issa Shivji ni kijana basi nami nnajidai kwa huo ujana. Hayo nilyokuwekeeni hapo juu, ni baadhi ya mambo, na sijaona hata mmoja akija na jibu la kusema aahh hapa Zomba umekosea haikuwa hivyo ilikuwa hivi na hivi. Hakuna!
=======

Shivi siyo shoga, hawezi kukupenda wewe.
 

Chama bora ni kile ambacho kinaziona kasoro zake na kuzifanyia kazi.

Hayo yoooote uliyoyasema kuhusu CCM hapa sio mahala pake, anzisha thread yake tutaijibu. Hapa tunaongelea mpasuko bdani ya Chadema, kubali au kataa, upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…