........Basi inawezakana alitumia miaka 10 kufanya PHD yake, hili liko wazi kabisa, wala haliitaji kujiumauma hapa swala ni kweli Kitila Mkumbo aliyasema haya au hapana?Mkuu Matola,
Unataka Dr. Kitila akurupuke kujibu kabla hajasoma posts za wengine humu? Unataka awe mkurupukaji kama wale wengine? Unajua hapa JF ni kama tunaongea ni kama kikao,haitakuwa ustaarabu kuanza kuchangia mada inayokuhusu kabla ya kusikiliza wenzako wanasemaje.
Haya maneno yamesemwa na Kitila Mkumbo tunayemfahamu?
........Basi inawezakana alitumia miaka 10 kufanya PHD yake, hili liko wazi kabisa, wala haliitaji kujiumauma hapa swala ni kweli Kitila Mkumbo aliyasema haya au hapana?
Sidhani kama ni kweli huenda mlikuwa kijiweni mnakunywa kahawa tu, Kitilya ninayemfahamu hawezi kujadili kama ulivyonukuu humu, hata hivyo yeyote ndani ya CDM anaweza kugombea ni kadri watakavyokubaliana, hii habari ya kuwatia watu maneno sidhani kama ina uhai. Kuhusu tofauti ningeshangaa kama huko CDM wangekaa bila kutofautiana umesahau ule usemi kama mnakubaliana kila kitu basi mmoja wenu hana uwezo wa kufikiri!
Gamba mkubwa wewe,nani kakuambia kuna vita Chadema,Chadema tunautaratibu wake wa kumpata mgombea.
SLAA anajisumbua. Kazi yake kuu ilikuwa ni kukijengea chama umaarufu na kwa sababu hiyo atalazimika kukaa pembeni wenye chama washike hatamu. Mkuu au umesahau kazi ya ule mpira wa kiume? ukishamaliza kazi sharti utupwe.
Kwanza kitila mkumbe tarehe tisa march nimemuona hill park sasa cjui anavyosema alikuwa nae ngambo labda ni kitila mwingine, jambo lingine ni kwamba hata angekuwa nae navyomfamu mkumbo asingeweza ongea hayo mambo, lakini hata kama angesema hakuna mtu asiyejua kama dr slaa anaushawishi mkubwa ndani ya umma wa watanzania japo mbowe nae yupo makini katika siasa na kuimarisha chama, na mwisho chadema kina mbinu zake za kusimamisha wagombea nani alijua kama slaa angegombea 2010! Inawezekana 2015 wakasimama wengine kadri ya upepo utakavyokuwa kama kina mnyika,lissu,zitto kama katiba mpya itamruhusu.
Kwani kukiwa na Mpasuko ndiyo nini bana? Ni jambo la kawaida tu ila baada ya uchaguzi, wanarudi kuwa kitu kimoja.
Mpasuko siyo jambo baya kabisa duniani. Hata Baba na Mama yako wameungwa kwa Mpasuko, sembuse Chadema?
Kitila usijibu hata neno moja hapa maana utakuwa unamfukuza Kichaa aliyekuchukulia nguo ukioga.
Wewe ni Mrs Kitila Mkumbo?.....Kitila alirudi kutoka safari tarehe 10 machi 2012 lakini sijui alikokuwa acha uongo wewe
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi Mbowe wala Slaa anayefaa kuwa Rais wa Nchi hii labda kwa upinzani mngemsimamisha Lipumba huyu ana sifa za kuwa Rais.