Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?


kwani kati ya ccm na cdm ipi inakataliwa na wananchi tukirejea uchaguzi wa mwisho kufanyika kabla ya huu wa arumeru ambao sitaki kuwa mtabiri kama nyie mliotabiri kama mnavyotabiri sasa kwenye uchaguzi wa mwisho(igunga) na mwisho wa siku mkaondoka igunga bila kuaga?
 

Mkuu,
Kuna mantiki kubwa sana kwa watu kuunda nguvu ya pamoja,lakini hilo litawzekana tu if and only if CDM watatambua kuwa kura za wakristo peke yake hazitoshi kumuingiza mgombea wao ikul,(whoever will be). Mwaka 2010 CDM walipata support ya wananchi wengi ambao hawakuwa biased na dini dhidi ya wagombea wa CDM,still hawakushinda,think about 2015 ambapo wananchi wengi wameshaitazama CDM kwa jichom la tatu,likiwemo hili la udini. To be honest kuna bias kubwa sana ya kidini ndani ya CDM. And it is easy to see this,lakini viongozi wakuu wa chama hiki will not dare to address this issue openly kwa sababu hawana hoja madhubuti ya kukanusha. May be pia kwa sababu wana back-up kubwa ya maaskofu,ambao wameshindwa kuficha hisia zao kuwa wanai-support CDM kwa 100%. But believe me,hawa hawa maaskofu ndio watakaoibomoa CDM siku za usoni. BTW,sijawahi kusikia au kusoma popote ambapo viongozi wa CDM wakikanusha au kufafanua suala hili kwa hoja pana,zaidi ya kujibu kjuujuu tu.,maswali magumu,majibu mepesi.!
 
Ushauri wangu kwa Slaa aanzishe chama chake kwani kushindana na mbowe hataweza kwa kuwa kwanza hana hela na pia fitna za mbowe haziwezi,ni watu wawili tu ndani ya chadema wanaomuweza mbowe tena mmoja wapo kwa sasa hayupo hai tena,watu hao ni zitto kabwe na marehemu Chacha,Hawa ndio watu pekee waliowahi kumtingisha mbowe na akatingishika haswa,Slaa hatamuweza.
 

Hii biashara ya kuanzisha vyama naona inalipa sana Bongo!! Sasa kila mtu akianzisha Chama cha siasa hii nchi itakuwaje?
 

Sure,We can't blame whites!

Mkuu Wabe,tupo on the same page kwa yote uliyosema but my point ilikuwa juu ya kuvunja minyororo ya utumwa.Hayo uliyoandika ndiyo ambayo tunataka sasa tuyatekeleze kwa hiyo kama Slaa atafanana na Morgan Tsavangiraia tutaendekeza ukoloni,tutakuwa tunabadilisha regime tu na kuwasaidia zaidi mabeberu.Tutakuwa tunatekelezana kuisadia foreign policy of the United States(Regime change policy)

Siwachukii wazungu,hata shetani mwenyewe na ufedhuli wake simchukii bali matendo yao.Sasa kama nachukia matendo ya kibeberu na ofcourse wanasaidiwa na incompetent leaders kutoka nchi zetu,je sina haki ya kuwachukia vibaraka wanaotaka kutufanya tuzidi kutawaliwa kifikra?

Vijana sasa hivi hawafanyi kazi zaidi ya ku-bow down mbele ya cultural imperialism.Ligi kuu za Ulaya ndiyo siasa kwao,ndiyo kazi ndiyo entertainment n.k. Ofcourse hili taifa linahitaji uponyaji na uponyaji huu unahitaji inspiration kutoka kwa leaders wanaojua tunahitaji nini,historia yetu ikoje na tunataka kwenda wapi.mfumo wa uongozi tangu tupate uhuru umekuwa wa kuendekeza ukoloni mambo leo kifikra,hapa ndipo ninapotaka sasa tufanye radical change(hapa nafurahi kuona hii spirit sasa imeanza kuingia damuni mwa baadhi ya viongozi ndani ya chama,signature yangu ya JF ilikuwa inasema Movement For Radical change na jana kwenye fundraising ya Arusha theme ilikuwa Movement for Change,M4C).

Sure,we need to rise up,we need to inspire a radical departure from mental slavery.Taifa linahitaji healing lakini si kuendekeza ukibaraka.Thanks kwa ku-admit kwamba Moragan the Traitor hawezi kuwa role model au figure ya kufanyia reference kwenye transformation tunayoitamani

Come on Wabe! Facebook is a social network.Tunakataa ubeberu lakini technology inayoletwa na mabeberu hatuwezi kuikataa pengine tukiweza kubadili fikra za watu wetu tutaweza kuitumia vizuri na kuigeuza against their ambitions.Facebook ndiyo ilitumika kuleta radical change kule Egypt na kumuondoa kibaraka wa Mabeberu dikteta Hosni Mubaraka.Facebook ilikuwa tool muhimu iliyotumika na vijana wa Tunisia na Misri kuwatia matumbo joto mabeberu kwa kujua hii revolution inaweka Camp David Accord at stake

Kutokana na fedheha iliyowakumba wakaamua kuleta balance katika ile region kwa kutumia force Libya na sasa Syria.The U.S./NATO bombing of Libya has clarified where imperialism stands regarding that country. The transnational exploiters are determined to totally seize hold of the richest oil reserves in Africa and cut off the billions of dollars that Libya was contributing toward the development of much poorer African countries.

Syria is also targeted by imperialism -- because of its heroic defense of Palestinian resistance over decades and its refusal to recognize the Zionist occupation. Syria's assistance to Hezbollah in their struggle to end the Israeli occupation of Lebanon and their strategic alliance with Iran cannot be forgotten

Comrade Waberoya,sasa hivi mabeberu wanatumia nguvu na technolojia yao + unpatriotic spirit ya viongozi wetu both kwenye ruling side na opposition(prospective government/regime) kuhakikisha maslahi yao hayathiriki.Ningekuwa na uwezo wa kuja hidden agenda za viongozi hawa na tulio nao hapa Tanzania nisingeona aibu ku-champion assasination kwa Traitor hawa kama ningeshindwa kuwabadili kifikra ili waweze ku-fit katika vision kwa maslahi mapana ya watanzania na Afrika kwa ujumla.

Wabe, mababu zetu waliokuwa wanamapinduzi wa kweli walijitoa sadaka kwa kushirikiana na intellectuals na kweli waliwashikisha adabu wakoloni wale. Comrade Osagyefo(Kwame Nkrumah) spent time in England and discovered its weak economy following World War II, then planned a political strategy with an economic offensive of boycotts, strikes, and demonstrations, "positive action," to cripple England and win independence for Ghana on 6th March 1957. Today America's economy is weak and in the spirit of Osagyefo Kwame Nkrumah, we are calling on Africans youths and true leadrs to demonstrate, strike, and boycott, and other oggresive measure according to the current situation in solidarity with resistance, to win total independence for Africa. Ni lazima tuanze na viongozi wetu both in the ruling party na hata upinzani incase kuwae na dalili za ukibaraka

Kama tunashindwa hivi kwa kisingizio cha demokrasia ya magharibi basi tuifanyie modification otherwise Africa itashuhudia rebellion against our puppet leaders.Viongozi walioko madarakani Tanzania na Afrika na hata vyama vya upinzani washuhudie maasi,wale comrades wanaoelewa hili tutaungana mkono.Waberoya najua wewe ni mmojawapo

Asia haikufikia hapa ilipo kwa sababu viongozi wao wao wa kwanza waliweka misingi ya kukataa ubeberu.Mahatma Gandhi na Shri.Jawahlal Nehru heroically waliongoza India kukataa ubeberu na ndiyo maana ukisoma foreign policy ya India (Diplomatic relation kati ya India vs United states ilikuwa zig zag untill 2000's). India leo huwezi kufanya investment ukamiliki stake kwenye company more than 49% kama foreigner.India wana policy,wanajitahidi ku-preseve culture yao ambayo inawa-define na inafiti katika ambition na interest zao kama Taifa.Halikadhalika China

China,Comrade Mao Tse Tung aliindoa China kwenye janga la kuwa victim wa ubeberu.Wale traitors aliowapindua walikimbilia Taiwan (alifanya kosa kuwaacha hai Hadi leo US anaitumia Taiwan kuelekeza detterence millitary kwa china).Chairman Mao Tse tung alipoanza na the great Leap,alinyonga watu wengi (Ofcourse Traitors deserves nothing but DEATH) lakini China Imesimama na inaweza kuvunja rekodi ya Soviet kuwa super power ndani ya kipindi cha miaka 70.Ooops,nisije nikatoka nje ya mada sana sasa....!

Kazi iliyoko mbele yetu ni tete kama tunataka kuliponyesha Taifa hili.

Kwa kuanzia tu kama wanasiasa,kama intellectuals tunaweza kuanza na utekelezaji wa maudhui ya hapa kwenye signature yangu.
 

Empty headed
 

Mkuu hatujaelewana swala la kusema slaa afanane na Morgan...nataka awe aggressive, awe radical kama Morgan, ila siyo traitor kama Morgan...kuonyesha ukakamavu kwenye upinzani is what I am emphasizing, lakini I am not advocating Slaa awe traitor na kusikiliza mabeberu wa western. Kwani wako traitors wengi na still wako silent
 
Ben,

Inaelekea hujui kilichotokea Zimbabwe bali unaongelea propaganda zilizopandikizwa na ZANU juu ya Twangarai!!

Kweli unajua kilichotokea maanake hata hilo jina hapo kwenye Red silijui kwenye medani za siasa huko Zimbabwe......!

Sheer Rhetorics !
 

Mkuu Wabe,

Nimekuelewa,tupo ukurasa mmoja mkuu.

Hata hivyo ikibidi tutakuja kuanzisha thread nyingine kuna mahali sijakuelewa .What are your suggestions for fighting western imperialism - id like to hear them.

Pia ulipojadili kuhusu hali ya ubeberu na Asian countries in-comparison with African countries

I don't know how you can compare Africa that had to deal with slavery, colonialism and now Neo colonialism with Japan and many other Asian nations that had less burdens to contend with.

If you want to make a comparison - compare like for like - dont come and talk about Asian nations that were not subjected to depletion of manpower through the transatlantic slave trade, annexation of land by way of the scamble for Africa and subsequent military invasion and occupation by way of colonialism and then ask me why we are not as developed as Asian nations.
 
Zitto anakamilisha tetesi kwamba kuna mpasuko chadema juu ya atakayegombea Urais
 
KINA LAANA YA DAVID CAMEROON......ukipinga na wewe umo kwenye mchezo mchafu a.k.a CAMEROON.....Tunataka wabunge wa CHADEMA watubu dhambi hii pia waende BUGURUNI waoe MACHANGUDOA WOTE waachw biashara yao....au SIYO NDESA PESA?
 
Gamba mkubwa wewe,nani kakuambia kuna vita Chadema,Chadema tunautaratibu wake wa kumpata mgombea.
Na wakati ukifika utaratibu huo utatumika. Kwa sasa tushughulike na kuusaka ushindi Arumeru Mashariki!
 
wewe ni
mmoja kati ya watu wenye uwezo wa chini wa kuchambua mambo jf,na mwenye upofu wa kutambua ukweli.hua hauthamiki hata kidogo humu,sema ndo umeshazoea kuingia jf na kupost undezi,basi umezoeleka pamoja na ujinga wako!

kwa sababu haongei na kuamini unachoamini wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…