Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,384
- 2,082
Katika hali inayozidi kudhihirisha anguko kubwa la chama kilichoitawala nchi yetu kwa zaidi ya nusu karne, magwiji wa siasa ndani ya chama hicho wanazidi kutimka.
The lates ni kuwa Professor Mark Mwandosya ambaye ni waziri katika serikali hii ya ccm na aliyekuwa mgombea urais kwa hatua za mwanzo ndani ya chama hicho, anahamia Chadema.
Waziri huyo ambaye hakusita kuuponda mfumo mbovu wa kupitishwa majina ya wagombea na kamati za maamuzi ya chama chake inasemekana ndani ya majuma mawili haya atatimkia Chadema.
Aidha, mkongwe na gwiji wa siasa nchini Kingunge Ngombale Mwilu ambaye hakuficha hisia na maoni yake ju ya dhurma alizofanyiwa Edward Lowassa na CCM ana mpango wa kutimkia chama cha wananchi CUF mapema wiki hili.
Kama hiyo haitoshi, waziri wa zamani wa Mambo ya ndani ndg Emmanuel Nchimbi anatimkia CUF na kuwa mgombea wa jimbo la Songea Mjini kupitia chama hicho.
Zaidi tutaendelea kujuzana