General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
hiyo namba ya simu inabidi TCRA washughulike nayo
hizi regulatory Authorities zetu me siziamini sana ujue, hao TCRA kuna ujinga mwingi sana unafanyika ila wanaukenulia tu,moja wapo ni huduma mbovu za mitandao ya makampuni ya simu particularly TIGO
Wana ccm wenyewe kwa wenyewe hawa aminiani, siri zote zao zinavuja, ndo kusema walipo ccm 10 wafuasi wa lowassa ni 4, hatari sana.
Hii imegundulika katika grupu moja la uvccm katika kufanya mipango ya ulaghai na uhuni kwenye mitandao ya kijamii.
Kumbe tunapoona post zao za uzushi hizi ndizo mbinu zao wanazotumia kudanganya watu.
HIVYO BASI WANAUKAWA WOTE TUWENI MAKINI NA USHENZI HUU, NA TUWAPUUZEE KWA KILA POSTI WABAZOTULETEAA
Niliona ile ya Kafulila kuzomewa Kigoma nikagundua tu kwamba wazushi wako kazini
Hata hapa jf nimewagundua wanaleta vipost vya ajabu ajabu ili kuleta sistruction na kutoa wat kwenye hoja