Mpango wa new world order

Mpango wa new world order

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,726
Cheki hiyo picha ya hicho kitabu katika kurasa wake wa katikati ni nini maoni yako
FB_IMG_15612739824413194.jpeg

View attachment 1884239
 
Hakuna kinachotokea duniani kws bahati mbaya.kula kitu kimepangwa..kwani hats wokovu ulipangwa. Hivyo no muhimu kwetu kuwa na mipango endelevu ya kusimamia utu na maadili ya msingi ya mwanadamu.kula mmoja akizingatia Hays toka ngazi ya familia tutashinda.
 
Kuachana na mfumo uliozoeleka wa kiserikali
Kuachana na taratibu za kurithi
Kuachana na utaratibu wa Dini katika dunia
Kuunda serikali moja ya Dunia
Kupinga jinsi yeyote ya harakati katika dunia
Kuleta haki sawa kwa jinsi zote pamoja na ushoga kuruhusiwa kwa nchi zote.
 
Hii kitu siyo ya jana wa juzi long as hujazaliwa au kuzaliwa huu mfumo unafanya kazi mujarabu na kwa hatua nzuri tu.

Mfano leo unasajiliwa line zako kwa vidole vyako hii inakupa picha gani?

Hao jamaa wanafanya majumuisho yao katika hali ya kipekee sana na hakuna atakayetoka 😔!.
 
Serikali iliyoungana, dini iliyoungana, utaratibu wa uchumi ulioungana ili yawe maandalizi ya kujidhihirisha yule mpinga kristo na kuanza kwa dhiki kuu, hakuna kuuza wala kununua bila kuwa na chapa ya mpinga kristo
 
Hii kitu siyo ya jana wa juzi long as hujazaliwa au kuzaliwa huu mfumo unafanya kazi mujarabu na kwa hatua nzuri tu.

Mfano leo unasajiliwa line zako kwa vidole vyako hii inakupa picha gani?

Hao jamaa wanafanya majumuisho yao katika hali ya kipekee sana na hakuna atakayetoka 😔!.
Katika maono yangu niliona kuna matukio ya kuogofya katika anga kabla ya kuanza vurugu na mateso, nafikiri haya mambo ya UFO itakuwa ni maandalizi ya kuanza hizi ishu. Inaonekana hao UFO ndo mawakala wa ibilisi watakaokuja kutekeleza huo mpango wa NWO
 
Ile series ya Lost kwa mtu mwenye uelewa na mambo haya atakua anafaidi sana,hawa jamaa huwa hawakosei
 
Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba yule joka alishafunguliwa na anaitawala Dunia,Biblia imeweka wazi kuwa siku za mwisho upendo utapoa ndugu watasalitiana na kuuana.Sikiliza vyombo vya Habari kila siku habari ni mauaji tu Tena ya wapenzi ndugu marafiki watoto nk.Dunia inamwaga damu kila siku.Mfumo wa maisha umebadilishwa kula Jicho ni Jambo la kawaida Sasa tumeanza kuzoea na kupokea na kulasimisha rasmi ushoga na usagaji,kamali ndio mfumo wa maisha kwa Sasa Kama hautazini na shoga basi utamfanya mkeo ni vurugu tupu Mwana wa kiume kauza haki zake kwa mwanamke na mwanamke kwa Sasa nae kichwa kwa maamuzi yote ya Dunia.Kwa ufupi usiku tufanye toba asubuhi tufanye toba.Kama unasubiri 666 basi utakuwa umechelewa maana hiyo no ni mamlaka na ndio yanayofanga kazi.Tutende wema.Ni mawazo yangu tu.
 
nakipata wapi hicho kitabu
Tafuta Wasabato hizi habari wanazo sana, kwa sababu zipo kwenye biblia kiunabii
Ufunuo 13:17, 18 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake…Na hesabu ya jina lake ni mia sita, sitini na sita.”
 
Back
Top Bottom