City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,094
Pengine huenda dau halijafikiwa ndio maana dili imeshindikanaChadema itapambana na kila atakayekengeuka bila kuangalia sura ya mtu
Huenda dau zuri halijafikiwaAnataka aendelee na ulaghai?
Aende tuuu
Chadema ni nani? Yaani ukisikia Chadema, nani au kina nani wanakuja kwenye akili?Chadema itapambana na kila atakayekengeuka bila kuangalia sura ya mtu
Akafie mbele huko, wasicheze na maisha ya watu. Tumewakataa duniani na mbinguni wamekataliwa.Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
sawaNimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
Wafuasi wengi kina Yericho au? Kwani wapo wangapi? Hata buku hawafiki na kama ndivyo hivyo,hiyo idadi haiwezi kumshindisha mtu hata udiwani tu huku baraChaumma ni kweli itapata wafuasi wengi kutoka chadema ila zaidi watakua ni viongozi tu, sababu wana masilahi yao binafsi, wanayasaka kwa namna yoyote. Ila wafuasi wa chadema wa kweli hawawezi kuhama sababu chadema kwao ni kama imani. Sawa na Mfuasi wa HAMAS
Nimefurahishwa na maana kubwa iliyobebwa kwenye maneno haya machache........Chadema itapambana na kila atakayekengeuka bila kuangalia sura ya mtu
Mtu anasema CHADEMA imekufa wakati wakiitisha tu mkutano polisi washafika kupiga watu.CDM ITABAKI KUWA CDM
NA MPAKA WAKATI HUU BADO NI
TISHIO,NDOMANA MNAONA MAVIPENGELE KIBAO HAYAISHI
OVA
Si ndiyo hapoMtu anasema CHADEMA imekufa wakati wakiitisha tu mkutano polisi washafika kupiga watu.
Zuio batili la mahakama , kesi za kubumba juu ila bado watu wana imani na CHADEMA.
Mwaka huu CCM na vyama vyao shikizi hawatoamini.Si ndiyo hapo
Ova